Hakuna jambo baya kama kuhisi umeathirika na unaogopa kwenda kupima

Usiombe hii kitu uwe nayo kwenye mawazo yako na sana sana uwe unaingia kwenye platform mbalimbali kusoma dalili za huo ugonjwa (VVU na UKIMWI) au tabia zake baada ya kuambukizwa na ukawa una shaka juu ya hizo dalili.

Binafsi niliwahi kudumbukia kwenye haya mawazo (hata ukipitia thread zangu za kitambo utagundua hiko kitu)

Matokeo yake nilipata vidonda vya tumbo na kukonda sana na niliamini kweli nimeupata.

Lakini nilichogundua ni kwamba yale mawazo yalikuwa ni source ya mimi kupata vidonda vya tumbo na kukonda. Nikaacha hayo mawazo en nowdays nanenepa tu despite sikuenda kupima na niko na msimamo wa kutokwenda kupima.

Ushauri Wangu Kwa Vijana Wenzangu: 1. Tutake Risk huu ugonjwa upo jamani

2. Hakuna kitu kibaya cha kukiogopa kama uoga wenyewe

Am done unaweza kuongezea
Bado uzi wako ni muendelezo wa kujifariji mkuu.

Wengi tunagoma kupima, ila cha kufanya ni kutulia na kuishi vyema now huku matumaini yakiwepo, kama haupo itakua hvyo ila kama upo ipo siku tu utajua.

Keep the good spirit.
 
Bado uzi wako ni muendelezo wa kujifariji mkuu.

Wengi tunagoma kupima, ila cha kufanya ni kutulia na kuishi vyema now huku matumaini yakiwepo, kama haupo itakua hvyo ila kama upo ipo siku tu utajua.

Keep the good spirit.
Nitapima siku si nyingi ila nina 65% kuwa niko safe hizo zilizobaki ni hofu pamoja na makato ya VAT
 
Niende lini maana wiki hii health center nyingi nakuta zimefungwa


Njoo kwetu tukupime


20200916_184832.jpg
 
Niende lini maana wiki hii health center nyingi nakuta zimefungwa
mkuu kwani ukisoma soma zile dalili za mwanzo wiki nne hadi sita!! unaonaje.
Mimi sahizi nina kwenda mwezi wa 5 sitaki demu nataka nimalize mwaka kabisa..maana hizo mambo sikia kwa jirani tu
 
Back
Top Bottom