Hakuna jambo baya kama kuhisi umeathirika na unaogopa kwenda kupima

umenikumbusha mbaliii,hata Mimi kuna kipindi Fulani miaka ya nyuma kidogo kabla sijawa mama, nilikuwaga na boy friend baada ya kuachana naye nikasikiaga wanamsema eti ana ngoma bwana,hiyo hali ilinitesaa sanaaa Kwa muda mrefu,halafu kupima nikiwa naogopa,kweli kidogo niwe chizi sababu ya mawazo,ikatokea tu siku moja najisikia vibayaaa,nikaenda hospital,Dkt akanichukua vipimo vingi vingi kumbe alichukua na cha HIV ila hakuniambia,Majibu yalivyokuja akawa ananisomea sikuwa na wazo kabisa kama atakuwa amepima na HIV, basi akanisomea kisha akasema tumepima pia na HIV huna,weuweeee,nilitamani nimrukieee Kwa furahaaa,baada ya hapo nikapona kabisa hata sikuendelea kuumwa,jamani kumbe stress ni mbaya aisee inatesaa maana nilikuwa naumwa vitu havieleweki, na nilipima vipimo vingii hawakuona ugonjwa wowote.Cha ajabu baada ya Majibu hayo nikawa nimepona kabisaaa ,nanikawa nimejijengea utaratibu wa ku pima kila wakati...Yule Dr aliniokoa bana.
ENDELEA KUJIPA MOYO NA MATUMAINI ILA KIPIMO CHA UKIMWI NI ATLEAST MARA TATU. MARA MOJA UCJIPE UHAKIKA SANA. TUISHI TUNYWE MAJI TUACHE STRESS KIFO KIPO TU
 
mkuu kwani ukisoma soma zile dalili za mwanzo wiki nne hadi sita!! unaonaje.
Mimi sahizi nina kwenda mwezi wa 5 sitaki demu nataka nimalize mwaka kabisa..maana hizo mambo sikia kwa jirani tu
UNAWEZA USIWE NA DEMU NA UKAPATA.
 
Hahaha tena mie ndio niko kwenye risk ya kuupata kwa namna nyingi tu....sio mdau wa condom japo ni mzuri wa kushauri watu watumie
Ukimwi nao inaonesha si rahisi kuupata hasa ukiwa njia kuu bila kujali unatumia kinga au hutumii.

Shida ni uhuni,hapa ndipo najipa moyo.

Muhimu baki hapo njia kuu
 
Ukimwi nao inaonesha si rahisi kuupata hasa ukiwa njia kuu bila kujali unatumia kinga au hutumii.

Shida ni uhuni,hapa ndipo najipa moyo.

Muhimu baki hapo njia kuu

Ubaya wa hizi mambo unaweza kuta upo njia kuu lakini uliye naye hajatulia

Hata hivyo zipo namna nyingine za kuupata sio uhuni tu,hujui?
 
Ubaya wa hizi mambo unaweza kuta upo njia kuu lakini uliye naye hajatulia

Hata hivyo zipo namna nyingine za kuupata sio uhuni tu,hujui?
Kweli kabisa..

Dah sasa hapo kwenye njia nyingine ndipo panapoleta hofu kwa lugha nyingine unaweza ukawa umetulia kama maji mtungini still ukaukwaa
 
Ukihisi tu, we pima ili ujue moja coz kama uli risk sehemu basi ujue moja gia imenasia au Umenusurika ili sasa uwe makini na usiwe unarudia ku risk.... #PimaKujuaStatusYako#UkweliUtakuwekaHuru #SambazaLove
 
Na kama gia imenasia basi siyo mwisho ni mwanzo wa maisha mapya ambayo na yenyewe ni vema ukakubaliana nayo.....🤙🏾
 
Sawa ilaa unashauriwa pima mara tatu nyakati tofauti .Fata ushauri wa Daktari.Kuna positive zingine za uongo
 
UKIJUA UKIMWI NI STD AU STI UTAELEWA NINACHO MAANISHA SIKUTISHI. TAFUTA DEMU MKAPIME MNYANDUANE ACHA KUISHI KWA UPWEKE.
Unaweza ukampima kumbe yupo kwenye window period (kipindi ambacho virus havionekani kwenye kipimo),ukapiga kavu na ukaambukizwa
 
Tunaita “Living under the shadow” Rejea The novel, “Passed like a Shadow”.

Ondoa wasiwasi njoo tupime mkuu
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    93.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom