Ni kweli wazazi wengine wameiishi kwa kima cha chini wengine kwa biashara ndogondogo. Unspokua wanafurahi sasa mtt kakuwa mzigo utapungua. Ukibaharika kurithi mali kwa wazazi mshukuru tu Mungu. Kikubwa ni elimu iwe ya shule au ya msisha. Wazee wa zamani waliwarithisha watt wao ujuzi kama kuwinda, uvuvi ususi, ujenzi, uhunzi nk.
Nachojua na nilichofundishwa na ninachozingatia leo.
Ukiwa baba unawajibu wa kuitunza na kuhakikisha kesho bora ya watoto.
Mtoto wako au watoto wako pamoja na mkeo watakuitii na kukuheshim sana mwisho miaka 25. So ukiwa baba tambua mkeo anakupenda coz wewe kwake ni ulinz na kesho ya watoto wake so wapende sana watoto na mpende sana mkeo lakin tambua Yesu alituambia ukiwa kijana unaweza kwenda popote ila ukishazeeka utaamuliwa pa kwenda na hutabisha. Iko hiv.
Wekeza sana nyumba za kutosha za kupangisha kama unauwezo wa kurun kampun fanya mzee kikubwa ukifikisha miaka 25 ya ndoa uwe unasehem unapata za kuchukua mzee. Maana wakat huo watoto wote wanarud na mama yao na utaanza kupewa maneno makali hukuyategemea na mkeo anakuona wewe unamuwekea kiwingu so ili kuepuka hayo tengeneza mazingira ambayo ukifikia umr flan unatoka mjin unakuwa nje ya mji unatengeneza himaya yako watoto wawe ndio wanakutafuta. Tumia muda mwingi kutembea safar za mbali na mkeo kuepuka stress za uzeen ili azid kukupenda. Lakin pia tangu mtoto wa kwanza unamzaa hakikisha kila anachotaka wewe baba ndio unampa hata kama ni hela ya mkeo mwambie akupe wewe ndio umpe ili kuwajengea mentality kuwa baba alikuwa anatupa.maana wazee wengi wamepigwa hapo. Unampa mama ada cjui nini kawalipie watoto sasa watoto wanakuwa na ile kitu mwisho wa siku akilini mwao Inaonekana hukushughulikia vya kutosha maisha yao.
Mwisho fuatilia wazee wengi wanakufa 60 65 mpaka 70 coz wanapewa haras na wake wakishirikiana na watoto na wazee hawasemag mwisho ugonjwa wa moyo anaishia. Kingine fuatilia kama mzee wako anakaa kijijin cku ukienda kuwatembelea wazee ur mumy atakuwa na muda mwingi wa kukwambia matatizo ya bana yako just bcoz anataka hela zote umwachie yeye umnyime mzee so kuwa makin mzee ucje kuwategemea watoto uzeen utateseka sana. Tafuta hela zako sio za watoto wao wape elim ile ya kiume then kadir maisha yanavyoenda ndio utamjua tu ni yupi mtoto anaweza kusimamia shughuli zako mwisho uwaachie urithi
Hiyo id ninayotumia ananiita hivyo mwanangu mmoja niliyemuangaikia kumsomesha elimu nzuri kwa hali yangu ya chini kwa kubangaiza baada ya kupata retrenchment nikiwa tu na miaka 7 kazini iliyokuwa NBC it was 1997 nimewasomesha wanangu international schools from primary to university levels je hizo ghalama nilizotumia tena kwa kujinyima zisingeweza kuweka investment ya kula maisha? leo hii mambo yaniendee kombo niitwe jinga!! kwa kauli km hii watoto wangu hawezi kuelewa mleta mada may be kuna jinsi mzazi wake hakumjengea future so ana hasira naye yangu hayo tuHiyo ni torati lazima tuifuate. Lakini siku ukiujua ukweli utakuweka huru.
Watu wengi hawajajua kuwa huyu joka jeusi ana mgogoro mzito na baba take. Na kwa uandishi huu wa mleta Uzi in type ya mtoto anayeweze hata kumuua baba yake.. Lkn pia mleta Uzi anakasumba ya kutopenda kukosolewa. Ukiangalia response yake kwenye comment zilizompinga utagundua madhaifu hayo.Hiyo id ninayotumia ananiita hivyo mwanangu mmoja niliyemuangaikia kumsomesha elimu nzuri kwa hali yangu ya chini kwa kubangaiza baada ya kupata retrenchment nikiwa tu na miaka 7 kazini iliyokuwa NBC it was 1997 nimewasomesha wanangu international schools from primary to university levels je hizo ghalama nilizotumia tena kwa kujinyima zisingeweza kuweka investment ya kula maisha? leo hii mambo yaniendee kombo niitwe jinga!! kwa kauli km hii watoto wangu hawezi kuelewa mleta mada may be kuna jinsi mzazi wake hakumjengea future so ana hasira naye yangu hayo tu
Uko sahihi kabisa nimeligundua hiloWatu wengi hawajajua kuwa huyu joka jeusi ana mgogoro mzito na baba take. Na kwa uandishi huu wa mleta Uzi in type ya mtoto anayeweze hata kumuua baba yake.. Lkn pia mleta Uzi anakasumba ya kutopenda kukosolewa. Ukiangalia response yake kwenye comment zilizompinga utagundua madhaifu hayo.
Hiyo id ninayotumia ananiita hivyo mwanangu mmoja niliyemuangaikia kumsomesha elimu nzuri kwa hali yangu ya chini kwa kubangaiza baada ya kupata retrenchment nikiwa tu na miaka 7 kazini iliyokuwa NBC it was 1997 nimewasomesha wanangu international schools from primary to university levels je hizo ghalama nilizotumia tena kwa kujinyima zisingeweza kuweka investment ya kula maisha? leo hii mambo yaniendee kombo niitwe jinga!! kwa kauli km hii watoto wangu hawezi kuelewa mleta mada may be kuna jinsi mzazi wake hakumjengea future so ana hasira naye yangu hayo tu
Malezi ni jukumu la mzazi na haliepukikiKila mtu Na akili yake ninachoona hapa Kuna watu wanataka kukimbia majukumu yao Yaani baba kakulea mpaka umekua Leo amezeeka unamtenga No haiko sawa Labda Kama unatafuta watu wa kufa nao baada ya wewe kuvuruga
Mtoa mada anatukumbusha kutumia ujana vizuri ili uzeeni tusipate shida. Tuna wajibu Wa kuwasaidia wazazi wetu ila pia tuna wajibu Wa kujiandaa na maisha ya uzeeni, tufanye Kazi tuwekeze kwa maisha ya baadae
Ukikaa na kutafakar maneno hyo ulioyaandika utajua kma unachokusupport sio sahihi.Mzee wako alikuwa pia na uhuru wa kutokuwazaa kama alikuwa hataki kuhangaika juu yako/yenu. Na wewe pia una uhuru wa kutokuzaa kama hautaki kuhangaika kwa ajili ya unaowaleta duniani. Lakini usifyatue tu watoto na kutokuyaandaa maisha yako eti watoto watakusaidia.
Unajua watu hawapingani na fikra zako ila maneno yako ulioyatumia hyajaleta taswira nzuri.Mkuu huu ndio ukweli na wala si hasira na wazazi wangu. Mimi pia ni mzazi wa kesho unafikiri mada hii haitanihusu kama nikizembea kwa uzembe na kula anasa nikiwa kijana. Nikitapanya mali kwa uasherati unadhani jina la Baba jinga halitanipata. Endelea kufikiri hivyo hivyo ila wenzako wenye akili wameelewa mantiki na ujumbe uliokuwepo kwenye hili bandiko
Mtoa mada concept yake inaeleweka ila tatizo kubwa tu utumiaji wa lugha ndio imekua shida.Mtoa mada anatukumbusha kutumia ujana vizuri ili uzeeni tusipate shida. Tuna wajibu Wa kuwasaidia wazazi wetu ila pia tuna wajibu Wa kujiandaa na maisha ya uzeeni, tufanye Kazi tuwekeze kwa maisha ya baadae
Na anapozeeka ni jukumu lako wewe kumleaMalezi ni jukumu la mzazi na haliepukiki