Nadhani hapo nimekuelewa kwamba kila mtu(mwanaume) apambane kwa nafasi yake kujiwekea akiba ya uzeeni,kwa hiyo hata watoto wa kiume hakuna kuwawekea utajiri uliopambana kupata,na wao wapambane watengeneze za kwao (si ndiyo uanaume!???)
Sasa ukipambana ukawaachia wao watapambanaje wakati wewe umeshapambana kwa niaba yao???
Vijana wa leo,pambaneni kujiandalia uzee wenu,watoto wenu nao watapambana kupata vyao,miradi yako komaa nayo mwenyewe,na watoto wako watapambana kutafuta miradi yao!!!!
Kina baba sikieni
Mkuu ukiwa unamtafakari baba huyu,usisahau kumtafakari huyo dogo boya,mzee hakupaswa kumpatia huyo kijana sehemu ya mali yake,kwa sababu maandiko hayasemi huyo baba tajiri alipewa mali na baba yake!Mkuu embu nielezee huyu Baba ni wa aina gani?
Luka 15
11 Akasema, Mtu mmoja alikuwa na wana wawili;
12 yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akawagawia vitu vyake.
13 Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.
14 Alipokuwa amekwisha tumia vyote, njaa kuu iliingia nchi ile, yeye naye akaanza kuhitaji.
15 Akaenda akashikamana na mwenyeji mmoja wa nchi ile; naye alimpeleka shambani kwake kulisha nguruwe.
16 Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu.
17 Alipozingatia moyoni mwake, alisema, Ni watumishi wangapi wa baba yangu wanaokula chakula na kusaza, na mimi hapa ninakufa kwa njaa.
18 Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako;
19 sistahili kuitwa mwana wako tena; nifanye kama mmoja wa watumishi wako.
20 Akaondoka, akaenda kwa babaye. Alipokuwa angali mbali, baba yake alimwona, akamwonea huruma, akaenda mbio akamwangukia shingoni, akambusu sana.
21 Yule mwana akamwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; sistahili kuitwa mwana wako tena.
22 Lakini baba aliwaambia watumwa wake, Lileteni upesi vazi lililo bora, mkamvike; mtieni na pete kidoleni, na viatu miguuni;
23 mleteni ndama yule aliyenona mkamchinje; nasi tule na kufurahi;
24 kwa kuwa huyu mwanangu alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana. Wakaanza kushangilia.
25 Basi, yule mwanawe mkubwa alikuwako shamba na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, alisikia sauti ya nyimbo na machezo.
26 Akaita mtumishi mmoja, akamwuliza, Mambo haya, maana yake nini?
27 Akamwambia, Ndugu yako amekuja, na baba yako amemchinja ndama aliyenona, kwa sababu amempata tena, yu mzima.
28 Akakasirika, akakataa kuingia ndani. Basi babaye alitoka nje, akamsihi.
29 Akamjibu baba yake, akasema, Tazama, mimi nimekutumikia miaka mingapi hii, wala sijakosa amri yako wakati wo wote, lakini hujanipa mimi mwana-mbuzi, nifanye furaha na rafiki zangu;
Mkuu hio post ya jamaa imenisikitisha sana mim mzee wangu amehangaika nchi mbali mbali kutufanya sisi tusome mpaka hapa tulipo. Hakiba yake haikukaa kwa mahaitaji ya watoto wake.Mkuu ukiwa unamtafakari baba huyu,usisahau kumtafakari huyo dogo boya,mzee hakupaswa kumpatia huyo kijana sehemu ya mali yake,kwa sababu maandiko hayasemi huyo baba tajiri alipewa mali na baba yake!
Hiyo huruma ya baba tajiri haifai,kwa kauli mbiu yako kila mwanaume ajiandae kwa uzee wake,ina maana kwamba hata huyo anayelia lia kwamba asamehewe ili aendelee kudowea vya mzee wake,HAIFAI,kama ni mzembe akawe mtumwa mpaka akili imkae sawa!
Naye si ni mwanaume!!????
I won't argue with a fool anymore. I rest my case.Kama mama yako tu.
That is why nimempa tafakuri kuu,kwamba endapo atambeza mzee wake ma kumuita baba jinga,ina maana kwamba baba yake anapaswa kukomaa kujiandalia akiba ya uzeeni,asihangaike na maisha ya watoto wake kwa sababu na wao watatakiwa kutafuta maisha yao,kitu ambacho ni kibaya sana,na kinatengeneza cycle ya umasikini wa kutupwa!Mkuu hio post ya jamaa imenisikitisha sana mim mzee wangu amehangaika nchi mbali mbali kutufanya sisi tusome mpaka hapa tulipo. Hakiba yake haikukaa kwa mahaitaji ya watoto wake.
Hivi kweli mzee leo amezeeka na hana kitu unakutegemea kwa asilimia mia usimsaidie,ni nani ana laana kati ya hao wawili?
Leo nimemskia jamaa anasema watoto kwa kipindi hiki ni muhimu sana tena uwakuze katika maadili ya dini na bila itakua hasara ni kma tunayoiyona hapa.
Mkuu ukiwa unamtafakari baba huyu,usisahau kumtafakari huyo dogo boya,mzee hakupaswa kumpatia huyo kijana sehemu ya mali yake,kwa sababu maandiko hayasemi huyo baba tajiri alipewa mali na baba yake!
Hiyo huruma ya baba tajiri haifai,kwa kauli mbiu yako kila mwanaume ajiandae kwa uzee wake,ina maana kwamba hata huyo anayelia lia kwamba asamehewe ili aendelee kudowea vya mzee wake,HAIFAI,kama ni mzembe akawe mtumwa mpaka akili imkae sawa!
Naye si ni mwanaume!!????
Mkuu inawezekana unayoongea wew yana ukweli ndani yake,ila kumbuka kua wazee walitoa hakiba yao yote katika kukufanikisha wew katika kila hali ufanikiwe na mwsho wake alikuwekezea wew na yeye hakubaki na kitu sasa je hua ni uzembe wa mzee?
Katika dini tunaambiwa tuwafanyia wema wazazi wawili,tuwatii,na tuwafanyie wanayoyahitaji katika mambo yao(iwe katika njia nzur). Istoshe hii hali inakuja katika society yetu kwasababu ya hali zetu za maisha,tatizo la vijana wasasa wazee walijitihadi kujitolea katika hali na mali watoto wao wafanikiwe sasa wew umekua na umekaa mbali na mzee wako hamuongei hamupangi mambo ya maendelea katika maisha na ukumbuke uzee unakua ni kma utoto hapo unahitajika sana kumsaidia mzee wako,ndio maana wazee wa kitajiri huwawekeza watoto wao katika mali zao ili wanapokua waweze kuwasimamia mali zao na kujisimamia wenyewe.
Mkuu hio post ya jamaa imenisikitisha sana mim mzee wangu amehangaika nchi mbali mbali kutufanya sisi tusome mpaka hapa tulipo. Hakiba yake haikukaa kwa mahaitaji ya watoto wake.
Hivi kweli mzee leo amezeeka na hana kitu unakutegemea kwa asilimia mia usimsaidie,ni nani ana laana kati ya hao wawili?
Leo nimemskia jamaa anasema watoto kwa kipindi hiki ni muhimu sana tena uwakuze katika maadili ya dini na bila itakua hasara ni kma tunayoiyona hapa.
Hapana,kwa akili ya kawaida tu,mzee akikusomesha na kujiandalia maisha ina maana wewe umevimbiwa akiba ya mzee wako,kama sio wewe angekuwa nazo nyingi tu!!!Hahahaa!!
Huyo ndio Baba Bora
Malizia na hapa
Mithali 13
22 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.
That is why nimempa tafakuri kuu,kwamba endapo atambeza mzee wake ma kumuita baba jinga,ina maana kwamba baba yake anapaswa kukomaa kujiandalia akiba ya uzeeni,asihangaike na maisha ya watoto wake kwa sababu na wao watatakiwa kutafuta maisha yao,kitu ambacho ni kibaya sana,na kinatengeneza cycle ya umasikini wa kutupwa!
Baba anapomsomesha mtoto wake,anatumia pesa ambayo angeweza kui-save kwa maisha yake ya uzeeni,halafu toto lenyewe ndo hilo linamuita mzazi wake "baba jinga" eti kwa kuwa hakujiwekea akiba ya uzeeni!rubbish!!!
Kitendo cha baba/mama kukusomesha kwa kujinyima mpaka kufanikisha kuijenga future yako,ni kitendo cha kishujaa,na mtoto lazima uwajibike kwa wazazi wako,tena sio ombi ni LAZIMA!!!
Hii ya kujifanya tunaiga mifumo ya kimagharibi ni uzwazwa wa hali ya juu,haupaswi kuigwa hata kidogo!!!
Hapana,kwa akili ya kawaida tu,mzee akikusomesha na kujiandalia maisha ina maana wewe umevimbiwa akiba ya mzee wako,kama sio wewe angekuwa nazo nyingi tu!!!
Kwa hiyo kama hawezi kuifaidi akiba yake haina maana ya kuiwekeza kwako,ili na wewe ukomae kutafuta yako,na wewe si ni mwanaume bhanaaa!!!!
Kwa maneno yako,baba amsaidie kijana wake kukua mpaka umri wa kujitegemea (miaka 18)We somesha mtoto alafu usiweke akiba alafu uzeeni uone kitakachojiri. Hata Mungu atakushangaa
Kila baba ni mwanaume,lakini sio kila mwanaume ni baba!Hujui maana ya Baba Mkuu? Kuna tofauti kati ya Baba na Mwanaume au hujui hili?
Kila baba ni mwanaume,lakini sio kila mwanaume ni baba!
Huo ndio uelewa wangu!
Ready to be corrected!!!
Kwa maneno yako,baba amsaidie kijana wake kukua mpaka umri wa kujitegemea (miaka 18)
Baada ya hapo mzee aendelee kujiandalia akiba yake ya uzeeni,na hilo toto la kiume litakalomuita baba yake "baba jinga" likomae lenyewe kutafuta future yake!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kama ulilelewa na wazazi hauwezi ongea hv,ukikumbuka walivyohangaika kukusomesha kwa shida toka kindergarten na kipato chao kidogo wakahakikisha unapata elimu bora,mpaka unamaliza chuo nawao ss uzee unaingia nguvu zile za kuchacharika zimepungua kwann usiwasaidie ni roho mbaya na ubinafsi.