Hakuna jambo baya kama baba kumtegemea mwanaye

Wewe Umenielewa. Mantiki ya Mada si kuwatukana wazazi wetu. Bali ni kuwatukana/Kujitukana sisi Wababa wa sasa ambao ni vijana tunaopaswa kujijenga ili tusiwasumbue watoto. Embu fikiria mtu Analewa pombe, anatumbua pesa na malaya mjini alafu, hajawekeza. Nini kinakufanya uogope kumuita ni Mjinga. Woga ni kitu kibaya
 
Bora uwaambie maana siku hizi wamekuwa mafurushi.

LUKA 15
11 Akasema, Mtu mmoja alikuwa na wana wawili;
12 yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akawagawia vitu vyake.
13 Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.
14 Alipokuwa amekwisha tumia vyote, njaa kuu iliingia nchi ile, yeye naye akaanza kuhitaji.
15 Akaenda akashikamana na mwenyeji mmoja wa nchi ile; naye alimpeleka shambani kwake kulisha nguruwe.
16 Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu.
17 Alipozingatia moyoni mwake, alisema, Ni watumishi wangapi wa baba yangu wanaokula chakula na kusaza, na mimi hapa ninakufa kwa njaa.
18 Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako;
19 sistahili kuitwa mwana wako tena; nifanye kama mmoja wa watumishi wako.
20 Akaondoka, akaenda kwa babaye. Alipokuwa angali mbali, baba yake alimwona, akamwonea huruma, akaenda mbio akamwangukia shingoni, akambusu sana.
21 Yule mwana akamwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; sistahili kuitwa mwana wako tena.
22 Lakini baba aliwaambia watumwa wake, Lileteni upesi vazi lililo bora, mkamvike; mtieni na pete kidoleni, na viatu miguuni;
23 mleteni ndama yule aliyenona mkamchinje; nasi tule na kufurahi;
24 kwa kuwa huyu mwanangu alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana. Wakaanza kushangilia.
25 Basi, yule mwanawe mkubwa alikuwako shamba na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, alisikia sauti ya nyimbo na machezo.
26 Akaita mtumishi mmoja, akamwuliza, Mambo haya, maana yake nini?
27 Akamwambia, Ndugu yako amekuja, na baba yako amemchinja ndama aliyenona, kwa sababu amempata tena, yu mzima.
28 Akakasirika, akakataa kuingia ndani. Basi babaye alitoka nje, akamsihi.
29 Akamjibu baba yake, akasema, Tazama, mimi nimekutumikia miaka mingapi hii, wala sijakosa amri yako wakati wo wote, lakini hujanipa mimi mwana-mbuzi, nifanye furaha na rafiki zang
 
Umetukana wazazi mzee..

This is gonna retaliate and hit u back ..
You have cursed..

Boy u better apologise. You could use a fair language.

Anyway.

Kama upo vizuri kichwani naomba unipe maudhui makubwa matatu ya maandiko haya:
Luka 15
11 Akasema, Mtu mmoja alikuwa na wana wawili;
12 yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akawagawia vitu vyake.
13 Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.
14 Alipokuwa amekwisha tumia vyote, njaa kuu iliingia nchi ile, yeye naye akaanza kuhitaji.
15 Akaenda akashikamana na mwenyeji mmoja wa nchi ile; naye alimpeleka shambani kwake kulisha nguruwe.
16 Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu.
17 Alipozingatia moyoni mwake, alisema, Ni watumishi wangapi wa baba yangu wanaokula chakula na kusaza, na mimi hapa ninakufa kwa njaa.
18 Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako;
19 sistahili kuitwa mwana wako tena; nifanye kama mmoja wa watumishi wako.
20 Akaondoka, akaenda kwa babaye. Alipokuwa angali mbali, baba yake alimwona, akamwonea huruma, akaenda mbio akamwangukia shingoni, akambusu sana.
21 Yule mwana akamwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; sistahili kuitwa mwana wako tena.
22 Lakini baba aliwaambia watumwa wake, Lileteni upesi vazi lililo bora, mkamvike; mtieni na pete kidoleni, na viatu miguuni;
23 mleteni ndama yule aliyenona mkamchinje; nasi tule na kufurahi;
24 kwa kuwa huyu mwanangu alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana. Wakaanza kushangilia.
25 Basi, yule mwanawe mkubwa alikuwako shamba na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, alisikia sauti ya nyimbo na machezo.
26 Akaita mtumishi mmoja, akamwuliza, Mambo haya, maana yake nini?
27 Akamwambia, Ndugu yako amekuja, na baba yako amemchinja ndama aliyenona, kwa sababu amempata tena, yu mzima.
28 Akakasirika, akakataa kuingia ndani. Basi babaye alitoka nje, akamsihi.
29 Akamjibu baba yake, akasema, Tazama, mimi nimekutumikia miaka mingapi hii, wala sijakosa amri yako wakati wo wote, lakini hujanipa mimi mwana-mbuzi, nifanye furaha na rafiki zangu;
 
Context:
Elimu na hali ya uchumi.

Kwa ufupi kabisa. Wazazi wa sasa wanatutegemea kwa kuwa maisha ya wakati huo wengi hawakuwa wameenda shule. Hawana pensheni.

Ni laana kwa kijana wa sasa kuja kuwategemea wanae. Ila kwa wazazi wetu..tuwalee tu tena kwa upendo wote. Tuwatunze na kuwapa mahitaji kadri ya tunavyoweza.
 
Sahihi kabisa Mkuu. Hii mada inatuhusu sisi na si waliopita.
 
Nakuunga mkono. Kazi ni kwetu sisi wa sasa kuvunja mnyororo wa utegemezi wa wazazi kwa watoto.
 
Kama mie Baba ananitegemea balaa na ndo huyuhuyu kuna muda aligoma kutoa Ada nisome kisa amekorofishana na mama.
 
Yaani unatuambia mtoto ana haki kula Mali ya baba Lakini baba Hana haki kula Mali ya mtoto? Hapana aisee SIKUBALIANI NA WEWE
 
hata Mimi SIKUBALIANI naye huyu haiwezekani watoto wasipowaangalia wazee alitaka Nani awatizame hapa ndio utaona tofauti ya dini ya kweli Na dini batili
 
Sikuwahi Acha msaidia mkuu,nimeandika hiv ili kuonesha ni namna gn watoto huwa tunapata mitihan

Hii hupelekea na wewe kushindwa kujimudu na kuwa stable hasa kipindi hichi ambacho hata kama umeenda shule bado unahali ngumu tuu kama ambaye hajaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…