Hakuna husband material...

Wanaume wa Kitanzania tunaogopa wanawake wazuri sana, wenye kazi nzuri, wenye familia nzuri, shule kubwa kwa hofu kuwa kutakuwepo na manyanyaso hapo baadae kwenye ndoa mapenzi yakianza kuchujuka.

Hii yako ni blanket statement. Usiwasemee wanaume wote wa Kitanzania kwani siyo wote wanaowaogopa wanawake wazuri, wenye akili na wenye mafanikio. Wengine ndio tunapenda wanawake wa aina hiyo.

Mwanaume mwenye hofu ya kuwa kutakuwepo manyanyaso hapo baadae kwa sababu ya mafanikio ya mwanamke basi huyo mwanaume hajiamini na uwezo wake katika mambo mengi. Mwanaume ukiwa unajiamini sioni ya sababu ya wewe kuwa na hofu.
 
Fine samahanini wanaume wenzangu kwa kuwasemelea. What i was trying to say ni kuwakilisha yale ambayo huwa nayaona na kuyasikia ila nimeshaomba samahani kwa wale niliowawakilisha pasipo ridhaa yao
 
Last edited:
Hehehehehe...ana mapepe sana huyo...hafai..Lol

Si mapepe, it's about what you like when you see it...if you know what I mean......teh!, teh!

(I see "goody" in January)
 
Wanaume wa Kitanzania tunaogopa wanawake wazuri sana, wenye kazi nzuri, wenye familia nzuri, shule kubwa kwa hofu kuwa kutakuwepo na manyanyaso hapo baadae kwenye ndoa mapenzi yakianza kuchujuka.

Afadhali wewe umesema
 
Mkuu Boss Wako wapi hao?Mimi nina watu wanahangaika mpaka kwenda vijijini kumbe wenzetu mna watu wenye sifa na wapo wapo?
Maana awali ilikuwa ni shida kupata wenye sifa sasa kama wapo-nawaomba niwaunganishie jamaa zangu haswa wa Tarime!
Maana ninavyojua mimi hao hao kina dada uliosema huwa hawataki kabisa kuolea wanasema ni utumwa!
Sikiliza hata wimbo wa mwana FA.

 
 
Last edited:
 
 
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…