Hakuna Heshima kubwa kwa Mwanaume kama Mwanamke kuutambua UUME wako Kabla hata Hamjakutana Kimwili.

Mwaka 2011 nikiwa natoka Mwanza nakuja Dar, nilipanda bus tukaianza safari, kufika Singida tukashuka kula, mimi nikachukua chakula nikachukua Tissue paper za kutosha, sasa kila mmoja kwenye kiti chake tunakula ndani ya bus, sasa siti za pembeni kulikuwa na mdada mrembo sana, tangu napanda nikawa namuangalia tu. Kamaliza kula alikuwa anatumia mikono kula, sasa kimbembe kikaja kwenye kunawa, atanawia wapi. Ile kuhangaika mi nikachomoa tishu 3 nikampa, yule mdada alinishukuru sana, bas kushuka Ubungo nikamuuliza anakoelekea akanambia Survey, nikamwambia tuchangie bajaji mi nilikuwa naenda Changanyikeni, tukawa tunawasiliana mwisho wa siku akaja kuwa mpenz wangu ingawa sikudumu nae.

Nisamehe tu J, nilikutenda visivyo ingawa ulionesha mapenzi ya dhati kwangu.
 
Mwaka 2011 nilipomaliza chuo na nikawa na ajira inayoniwezesha kubadili kila aina ya chakula ninachotaka

Nakumbuka nilikuwa Mwenge kwenye kahotel pale karibu na stand napata lunch

Meza ya pembeni walikaa wadada wawili wazuuri,nilikuja kufaham baadae kuwa ni wanachuo

Niliwasalimia kwa style na kibashasha kama vile nawaonyesha nipo interested na wao,lakini hawakuonyesha kunitilia maanani saana,waliitikia kawaida tu,halaf wakaendelea na story zao

Niliagiza ugali na samaki nikawa nakula kimya kimya pekeangu,wakati naendelea kula ndo nikamuona mama mmoja ameingia na mtoto mdogo,kimuonekano tu ni mchafu,amechokachoka naweza kusema ni kama ombaomba aliejikatia tamaa

Akaanza kupita meza moja moja akiomba ela,alipita meza kama 3 hivi zote hakupewa kitu,meza ya 4 ilikuwa ni ile waliokaa wale wadada,hapo napo hawakumpa kitu yule mama

Walipofika kwangu nikaingiwa na huruma,hasa baada ya kumuona yule mtoto alivokua katika hali ile.Yule mama akaniomba sh 1000 tu waende kununua mihogo ile wale yeye na mtoto wake

Nilidhani ni waongo kwa sababu mara nyingi watu wa namna hii hasa vijana wanakuwaga wanaomba ela ili wakale halaf ukiwapa wanaenda kununua bangi na sigara,kimoyo moyo nikasema sito ela hapa!!

Nikamwambia yule mama kama tatizo ni njaa basi akae pale pale yeye na mtoto wake halaf mie ntawanunulia chakula,wakakaa na mimi meza moja

Nikamuita muhudumu,nikamwambia waletee chakula wanachokitaka,wakaletewa wali na nyama na maharage kila mmoja sahani yake,Daaaah namna walivyokuwa wanakula mpaka nikaingiwa na imani moyoni,ni kama vile hawakula chakula wiki nzima

Walikula wakamaliza,nikamwambia muhudumu awafungie chakula kingine waondoke nacho kisha nikawapa na sh 5000.

Kumbe kipindi chote icho mule mgahawan watu wote walikuwa wananiangalia mimi,mpaka wale mabinti

Wakati namalizia kunywa juice yangu baada ya kumaliza kula,wale mabinti wakaja wakakaa na mimi,tukaanza kufahamiana,wakajitambulisha majina yao,nikajitambulisha,wakaniambia wao ni wanachuo UDSm pale wako mwaka wa pili na story nyingine nyiiingi..Kikubwa wakaniambia wamependa moyo na utu wangu niliuonyesha kwa yule mama na mtoto

tukabadilishana namba,nikawa nawasiliana nao wote kwa pamoja,mawasiliano ya kawaida kabisaaa,sikuwaonyesha hata mmoja kuwa nipo interested kimapenzi,Kumbe upande wa pili wao wamenipenda na hawajaambiana

Baada ya kipindi kama cha mwezi mmoja mbele hivi,wote wawili kila mmoja kwa wakati wake walijikuta wamenitunuku utamu

Sijawatongoza,hawajanitongoza ila niliwala...La kushangaza zaidi na la kufurahisha MKE WANGU niliemuoa nilimfahamu kupitia wao (mke wangu alikuwa ni room mate wao na nilimuona first day nilipowatembelea hostel)

Mpaka leo ,wao na room mate wao (mke wangu) ni mashost na pia wananiheshimu na mimi nawaheshimu,mmoja ameshaolewa mwingine bado.Tunashauriana maisha,mipango na mikakati yote ya kupambana na umaskini..Wamekuwa marafiki wa kweli kwangu na kwa familia yangu kwa ujumla.
 
Kipindi nafanya kazi mwanza ilikuwa jioni natoka kazini.Basi nkakutana na mdada kabebwa na wadada wawili.Nikapatwa taharuki nikawauliza vipi salamaaa,kuna nini na huyu amekuwaj wakanambia amekunywa sumu.Basi hapo hapo nkaita tax tukampeleka hospital seketure pia nkalipia kila kitu ila nkawaacha wale wenziwe.Kesho yake nlipotoka kazini nkapitia tena hospital kumjulia hali wale wenziwe kuniona wakanikumbatia na kunishukuru kumbe na yeye ashapewa habari zangu.Basi nkawaambia mi nlikuja kuwajulia hali tu wakachukua namba zangu. Baadaye walianza kuja gheto kwangu mmoja baada ya mwingine nkawa nafanya COUNT DOWN.
mungu anakuona
 
Miaka 14 iliyopita nlikuwa kwenye Bus naelekea Arusha. Safari ilikuwa ya kikazi nmeondoka hapa Jumamosi kuelekea Arusha kuendeleza Ujenzi wa Taifa.

Binafsi huwa napenda kukaa siti ya nyuma ya dereva Dirishani. Siku hiyo bahati mbaya nlipata siti ya karibu na Korido. Lakini uzuri gari ilikuwa ni Two by Two ( Luxury Coach )

Nliwahi Ubungo kama kawaida nikawa nmeketi kitini na punde tu akaingia Dada mmoja mrembo sana na mwenye kunukia Utuli.akanisalimia Hi! Nikamjibu Hi! Nikampisha nikashusha kiti nimalizie Usingizi.

Hatukuweza kuongea tena sababu nlipokuja kuamka nlimkuta busy anasoma novel. Nami nikatoa novel yangu ya Danielle Steele sikumbuki jina. Huku nikiwa nmeweka Earphones masikioni nisisikie kelele za mle ndani kutokana na wao kuweka Movie ya Kinaijeria.

Liverpool. Hapa ndipo palipogeuza kila kitu katika safari hii iliyokuwa na ukimya kwangu.maana mara nyingi huwa namshawishi mkata tiketi aniwekee mtoto mzuri sitini kupunguza urefu wa safari.

Huyu nlikaa naye pamoja na uzuri wake na kuonesha ni mwanachuo kutokana na mazungumzo yake na maneno mama UE n.k halafu umareka mareka mwingi ( kuigiza uzungu) nliona hatutawezana maana alikuja ana nyodo zake tayari.

Baada ya yeye kula pale liverpool safari ilichukua kama saa moja hali kubadilika.huyu dada alianza kubadilisha mikao na kuna kipindi nlisikia kabisa hali ya hewa tumboni mwake haikuwa nzuri kutokana na ngurumo na baadaye akaanza kupiga radi ( alikuwa akijamba taratibu sana bila kelele)

Maskini mrembo yule katika harakati hizo za kupunguza gesi tumboni nadhani kuna vitu alitoa (wataalam wanashauri usitoe gesi tumboni ikiwa tumbo limechafuka na haupo maliwato)

Alishtuka.akaniita "kaka, kaka..." Nlitulia kwanza nipate uhakika kama ni mimi au siye aliponigusa nikatoa earphones na kumsikiliza." Naomba unisaidie kile kibegi pale juu"

Nikawaza niinuke au niache.roho ya imani ikanijia "ada ya mja hunena uungwana ni vitendo" nikamletea.akatoa sijui kanga sijui kitenge au mtandio akajifunga.akamwita konda kuwa anaomba bus lisimame akajisaidie.

Dada mrembo alipatwa na safari ya mashaka mara ya nne anasimamisha gari abiria walianza kuja juu.nlisimama kiume na kuwauliza nani anafaham kuumwa na tumbo? Wakakosa la kujibu nikawa nawaza huu ndo muda wa kuchukua credit.basi mara nyingine nikawa nashuka naye huku sasa nampa maji yangu akanawie huko aendako.

Tulipofika sehemu flani imechangamka nlimwomba konda asimamishe bus nikanunue dawa kwa ajili ya mrembo. Alipokunywa dawa alishuka mara moja tu. Dawa ilionekana kumfaa.

Yule dada nlimhudumia kwa upendo na kumjali mpaka kufikia hatua akawa ananilalia kwenye mapaja.amepoteza nguvu kabisa.nambembeleza na nikampa juice yangu ya box ceres.akashukuru.

Alikuja kupokelewa na wazazi wake tulipofika moshi.hapo akanipa na namba yake ya simu mbele ya wazazi wake.ilibidi awaambie huyu kaka ndo kanisaidia.

Yule dada ndo alikuwa amemaliza chuo maskini.tukaendelea kuwasiliana na kuchat kwa mapenzi pasipo kutamkiana mapenzi.

Jana, kwenye moja ya vikao vya kikazi ndo kukutana na dada yule...aliponiona alinikimbilia akanikumbatia huku akisema " yu are my man" watu walishangaa sana.

Miaka kadhaa ago alienda USA kusoma zaidi.tukapoteana. she came back 2017 hakujua anitafutie wapi maskini.email add nliyokuwa natumia nlisahau password nkafungua nyingine.tukapoteana.

Jana mbele za wenzie wawili alinipa credit ambayo ilinipa faraja sana " mwenzenu sijawahi ona mwanaume kama huyu maisha yangu yooote, a perfect gentleman"

Nlitabasamu kimoyo moyo nikisema ...hunijui wewe...subiri tu uone moto wake. Tumerudi kiurafiki upya kwa speed kubwa sana. Nkawaza je wenzangu mmewahi ku act gently kiasi mwanamke mwenyewe akashangaa kuwa bado kuna WANAUME WANAOJALI NA SI KUWA AMEZUNGUKWA NA MAFISI?

TUJIFUNZE. UANAUME NI MATENDO NA TREATMENT NZURI KWA WANAWAKE, WATOTO NA WAZEE AU WASIOJIWEZA. SI KUPIGA GAME ZA KIBABE PEKEE. UANAUME SI MAUMBILE. NI MATENDO NA ROHO ILIYOKO NDANI

WABILLAH TAWFIQ

Hivi, stori za hivi kwenye magazeti bado zipo? Nilikuwa mpnz sana zama hizo
 
Mzee wa Ma- PDF ulitisha
 
Hizo ni tabia zangu..
wanaume mara nyingi tunakua opportunistic sana kiasi wanawake hubaki na maswali mengi na curiosity pindi inapotokea situation ambayo anahisi wewe utaitumia kumla kimasihara na usfanye ivo nadhan huwajengea imani ya mtu kujiheshm sana sometimes wakuu kueni watulivu unaweza ukakuta unachukua 3pts kirahisi sana

Siku moja usiku mschana wa chuo cha uhasibu nmekutana nae amekaa mahali nkamuuliza vipi dada una tatizo gani? anajibu analia nmetoka chuo naenda kwa mamdogo najua ni maeneo haya ila giza limenpoteza na simu yao haipatkan muda huo nlkua narud mageton nkamwambia usilie lete begi tupatafute nkamuuliza hio nyumba inakaribiana na nn akasema daraja na bar ..Zunguka zunguka kidgo tukapaona gonga geti akatoka nduguye ikabidi aelezee incidence ile wakanishkuru pale nikaondoka sikuchukua hata namba yake ingawa mschana alitoa toa simu akihisi ngemuomba namba...
Ila kuna siku genye zilinkaba nkaenda kwenye lile geti akatoka mzee mmoja wa makamo mteule wa jeshi daraja la kwanza nkamwambia jambo afande naulizia chumba akanambia kijana kua makini
 
Hahaha

Sent from my SOV34 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2011 nilipomaliza chuo na nikawa na ajira inayoniwezesha kubadili kila aina ya chakula ninachotaka

Nakumbuka nilikuwa Mwenge kwenye kahotel pale karibu na stand napata lunch

Meza ya pembeni walikaa wadada wawili wazuuri,nilikuja kufaham baadae kuwa ni wanachuo

Niliwasalimia kwa style na kibashasha kama vile nawaonyesha nipo interested na wao,lakini hawakuonyesha kunitilia maanani saana,waliitikia kawaida tu,halaf wakaendelea na story zao

Niliagiza ugali na samaki nikawa nakula kimya kimya pekeangu,wakati naendelea kula ndo nikamuona mama mmoja ameingia na mtoto mdogo,kimuonekano tu ni mchafu,amechokachoka naweza kusema ni kama ombaomba aliejikatia tamaa

Akaanza kupita meza moja moja akiomba ela,alipita meza kama 3 hivi zote hakupewa kitu,meza ya 4 ilikuwa ni ile waliokaa wale wadada,hapo napo hawakumpa kitu yule mama

Walipofika kwangu nikaingiwa na huruma,hasa baada ya kumuona yule mtoto alivokua katika hali ile.Yule mama akaniomba sh 1000 tu waende kununua mihogo ile wale yeye na mtoto wake

Nilidhani ni waongo kwa sababu mara nyingi watu wa namna hii hasa vijana wanakuwaga wanaomba ela ili wakale halaf ukiwapa wanaenda kununua bangi na sigara,kimoyo moyo nikasema sito ela hapa!!

Nikamwambia yule mama kama tatizo ni njaa basi akae pale pale yeye na mtoto wake halaf mie ntawanunulia chakula,wakakaa na mimi meza moja

Nikamuita muhudumu,nikamwambia waletee chakula wanachokitaka,wakaletewa wali na nyama na maharage kila mmoja sahani yake,Daaaah namna walivyokuwa wanakula mpaka nikaingiwa na imani moyoni,ni kama vile hawakula chakula wiki nzima

Walikula wakamaliza,nikamwambia muhudumu awafungie chakula kingine waondoke nacho kisha nikawapa na sh 5000.

Kumbe kipindi chote icho mule mgahawan watu wote walikuwa wananiangalia mimi,mpaka wale mabinti

Wakati namalizia kunywa juice yangu baada ya kumaliza kula,wale mabinti wakaja wakakaa na mimi,tukaanza kufahamiana,wakajitambulisha majina yao,nikajitambulisha,wakaniambia wao ni wanachuo UDSm pale wako mwaka wa pili na story nyingine nyiiingi..Kikubwa wakaniambia wamependa moyo na utu wangu niliuonyesha kwa yule mama na mtoto

tukabadilishana namba,nikawa nawasiliana nao wote kwa pamoja,mawasiliano ya kawaida kabisaaa,sikuwaonyesha hata mmoja kuwa nipo interested kimapenzi,Kumbe upande wa pili wao wamenipenda na hawajaambiana

Baada ya kipindi kama cha mwezi mmoja mbele hivi,wote wawili kila mmoja kwa wakati wake walijikuta wamenitunuku utamu

Sijawatongoza,hawajanitongoza ila niliwala...La kushangaza zaidi na la kufurahisha MKE WANGU niliemuoa nilimfahamu kupitia wao (mke wangu alikuwa ni room mate wao na nilimuona first day nilipowatembelea hostel)

Mpaka leo ,wao na room mate wao (mke wangu) ni mashost na pia wananiheshimu na mimi nawaheshimu,mmoja ameshaolewa mwingine bado.Tunashauriana maisha,mipango na mikakati yote ya kupambana na umaskini..Wamekuwa marafiki wa kweli kwangu na kwa familia yangu kwa ujumla.
Simulizi makini sana man

Sent from my SOV34 using JamiiForums mobile app
 
Mimi niliwahi kumtunuku kaka mmoja penzi baada ya kupoteza tiketi safarini nikatakiwa kulipa nauli upya,makonda walinibana ile mbaya mpaka nikalia,yule kaka akanilipia tena ilikuwa nauli kubwa,na hela ya matumizi,kipindi hicho nikiwa chuo,ndo tukawa tunawasiliana,akawa ananionyesha kunijali kwa hali ya juu na kipindi hicho tukawa tunapiga stories za kawaida nikawa natamani anitongoze ,ila siku moja alikuja kunisalimia chuo,akapanga kurudi siku hiyo hiyo,nikamwambia haitawezekana ntalipa hotel,akakubali kilichofuata.............
Hakuna mwanaume anayejali kama ambae ajakufunua bado,,lete mrejesho sahizi anajali tena
 
Mimi niliwahi kumtunuku kaka mmoja penzi baada ya kupoteza tiketi safarini nikatakiwa kulipa nauli upya,makonda walinibana ile mbaya mpaka nikalia,yule kaka akanilipia tena ilikuwa nauli kubwa,na hela ya matumizi,kipindi hicho nikiwa chuo,ndo tukawa tunawasiliana,akawa ananionyesha kunijali kwa hali ya juu na kipindi hicho tukawa tunapiga stories za kawaida nikawa natamani anitongoze ,ila siku moja alikuja kunisalimia chuo,akapanga kurudi siku hiyo hiyo,nikamwambia haitawezekana ntalipa hotel,akakubali kilichofuata.............
Askari wangu amesimama baada ya kusoma comment yako, wadada mkioneshwa heshima na upendo huwa mnaeleweka sana. Kuna pisi naijali toka mwaka 2018, niliitongoza ikakataa ila sikuacha kuijali, juzi nimetoka nayo Dinner nikaiomba tu arrange siku tukalale sehemu fulani imekubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinsi ulivo itunga hii story na uandishi wako, hakika unaweza tunga story ya movie za kibongo ..

Ila umenifurahisha hapo ulipo wakemea abiria kama vile kweli
 
Mimi niliwahi kumtunuku kaka mmoja penzi baada ya kupoteza tiketi safarini nikatakiwa kulipa nauli upya,makonda walinibana ile mbaya mpaka nikalia,yule kaka akanilipia tena ilikuwa nauli kubwa,na hela ya matumizi,kipindi hicho nikiwa chuo,ndo tukawa tunawasiliana,akawa ananionyesha kunijali kwa hali ya juu na kipindi hicho tukawa tunapiga stories za kawaida nikawa natamani anitongoze ,ila siku moja alikuja kunisalimia chuo,akapanga kurudi siku hiyo hiyo,nikamwambia haitawezekana ntalipa hotel,akakubali kilichofuata.............
.....mtiiiiiiiiiiii.... shubaaaaaaaamityyyyyyy...
 
Miaka 14 iliyopita nlikuwa kwenye Bus naelekea Arusha. Safari ilikuwa ya kikazi nmeondoka hapa Jumamosi kuelekea Arusha kuendeleza Ujenzi wa Taifa.

Binafsi huwa napenda kukaa siti ya nyuma ya dereva Dirishani. Siku hiyo bahati mbaya nlipata siti ya karibu na Korido. Lakini uzuri gari ilikuwa ni Two by Two ( Luxury Coach )

Nliwahi Ubungo kama kawaida nikawa nmeketi kitini na punde tu akaingia Dada mmoja mrembo sana na mwenye kunukia Utuli.akanisalimia Hi! Nikamjibu Hi! Nikampisha nikashusha kiti nimalizie Usingizi.

Hatukuweza kuongea tena sababu nlipokuja kuamka nlimkuta busy anasoma novel. Nami nikatoa novel yangu ya Danielle Steele sikumbuki jina. Huku nikiwa nmeweka Earphones masikioni nisisikie kelele za mle ndani kutokana na wao kuweka Movie ya Kinaijeria.

Liverpool. Hapa ndipo palipogeuza kila kitu katika safari hii iliyokuwa na ukimya kwangu.maana mara nyingi huwa namshawishi mkata tiketi aniwekee mtoto mzuri sitini kupunguza urefu wa safari.

Huyu nlikaa naye pamoja na uzuri wake na kuonesha ni mwanachuo kutokana na mazungumzo yake na maneno mama UE n.k halafu umareka mareka mwingi ( kuigiza uzungu) nliona hatutawezana maana alikuja ana nyodo zake tayari.

Baada ya yeye kula pale liverpool safari ilichukua kama saa moja hali kubadilika.huyu dada alianza kubadilisha mikao na kuna kipindi nlisikia kabisa hali ya hewa tumboni mwake haikuwa nzuri kutokana na ngurumo na baadaye akaanza kupiga radi ( alikuwa akijamba taratibu sana bila kelele)

Maskini mrembo yule katika harakati hizo za kupunguza gesi tumboni nadhani kuna vitu alitoa (wataalam wanashauri usitoe gesi tumboni ikiwa tumbo limechafuka na haupo maliwato)

Alishtuka.akaniita "kaka, kaka..." Nlitulia kwanza nipate uhakika kama ni mimi au siye aliponigusa nikatoa earphones na kumsikiliza." Naomba unisaidie kile kibegi pale juu"

Nikawaza niinuke au niache.roho ya imani ikanijia "ada ya mja hunena uungwana ni vitendo" nikamletea.akatoa sijui kanga sijui kitenge au mtandio akajifunga.akamwita konda kuwa anaomba bus lisimame akajisaidie.

Dada mrembo alipatwa na safari ya mashaka mara ya nne anasimamisha gari abiria walianza kuja juu.nlisimama kiume na kuwauliza nani anafaham kuumwa na tumbo? Wakakosa la kujibu nikawa nawaza huu ndo muda wa kuchukua credit.basi mara nyingine nikawa nashuka naye huku sasa nampa maji yangu akanawie huko aendako.

Tulipofika sehemu flani imechangamka nlimwomba konda asimamishe bus nikanunue dawa kwa ajili ya mrembo. Alipokunywa dawa alishuka mara moja tu. Dawa ilionekana kumfaa.

Yule dada nlimhudumia kwa upendo na kumjali mpaka kufikia hatua akawa ananilalia kwenye mapaja.amepoteza nguvu kabisa.nambembeleza na nikampa juice yangu ya box ceres.akashukuru.

Alikuja kupokelewa na wazazi wake tulipofika moshi.hapo akanipa na namba yake ya simu mbele ya wazazi wake.ilibidi awaambie huyu kaka ndo kanisaidia.

Yule dada ndo alikuwa amemaliza chuo maskini.tukaendelea kuwasiliana na kuchat kwa mapenzi pasipo kutamkiana mapenzi.

Jana, kwenye moja ya vikao vya kikazi ndo kukutana na dada yule...aliponiona alinikimbilia akanikumbatia huku akisema " yu are my man" watu walishangaa sana.

Miaka kadhaa ago alienda USA kusoma zaidi.tukapoteana. she came back 2017 hakujua anitafutie wapi maskini.email add nliyokuwa natumia nlisahau password nkafungua nyingine.tukapoteana.

Jana mbele za wenzie wawili alinipa credit ambayo ilinipa faraja sana " mwenzenu sijawahi ona mwanaume kama huyu maisha yangu yooote, a perfect gentleman"

Nlitabasamu kimoyo moyo nikisema ...hunijui wewe...subiri tu uone moto wake. Tumerudi kiurafiki upya kwa speed kubwa sana. Nkawaza je wenzangu mmewahi ku act gently kiasi mwanamke mwenyewe akashangaa kuwa bado kuna WANAUME WANAOJALI NA SI KUWA AMEZUNGUKWA NA MAFISI?

TUJIFUNZE. UANAUME NI MATENDO NA TREATMENT NZURI KWA WANAWAKE, WATOTO NA WAZEE AU WASIOJIWEZA. SI KUPIGA GAME ZA KIBABE PEKEE. UANAUME SI MAUMBILE. NI MATENDO NA ROHO ILIYOKO NDANI

WABILLAH TAWFIQ
Hilo neno Uume Lina double meaning ..kwa hiyo umewatega wale wanaojiita mabaharia humu
 
Back
Top Bottom