Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China

Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China

Hahahahaha jinga kweli wewe.

Three American citizens who were previously detained in China have been repatriated to the United States. The White House confirmed the release of Mark Swidan, Kai Li, and John Leung, who had been imprisoned in China for several years. They were reportedly released as part of a diplomatic agreement with Beijing.
Hao raia watatu waliingia China kwa kuzamia?
 
three American citizens who were previously detained in China have been repatriated to the United States. The White House confirmed the release of Mark Swidan, Kai Li, and John Leung, who had been imprisoned in China for several years. They were reportedly released as part of a diplomatic agreement with Beijing.
And The Reason's Of Their Detainment ?
Anybody Could Be Detained If You Disobey Laws Of A Country U Live.
So I Can't See Where They Mentioned That Those American Citizens Got Into China Illigally.
Maybe Its For Other Political Reasons,Like Chinese In Stateside Whose They Exchanged.
 
Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China kwenda kutafuta maisha bora ama hifadhi ya ukimbizi.

Kwa mwaka wa 2022/23 pekee zaidi ya raia kutoka China laki 3 walizamia Marekani kupitia mpaka wa Marekani na Mexico na wengine kuendelea kwenda Canada kutafuta maisha Bora.

Xi Jinping Mi mi
Hizi takwimu umezipata wapi? Kwenye open source au zile zile za western inept propaganda!!
 
Wewe uwa jinga sana harafu punguani hujui mambo mengi bora ungekaa kimya kuliko kujidhalilisha Wamarekani kibao wana njaa wapo China zaidi ya Laki moja wapo China.
ni kweli wapo wamarekani China wanafanya kazi. Wapo wanaofanya kwenye viwanda hasa vile ambayo vimekuwa subcontracted kutengeneza vifaa vinavyotumika marekani, na wengi ni walimu wa English.
 
China inapiga hatua kimaendeleo mpaka Marekani wanasanda takataka za Tanzania hapa zinawaza kuisifia tu Marekani akili za kuku sana!.....nenda sehemu zenye madini Hapa Tanzania ndo utajua ni jinsi gani kampuni za kichina zinavyopiga kazi na kuvuna madini!..mnawaza kwenda kuishi marekani fursa unaziacha huku!
 
Hivi unaifahamu USA wewe hata wakanada wenyewe wanazamia USA. USA ukiwa na mawazo mazuri au kipawa unapiga pesa.Huku baada ya tundu lissu kumuweka kuwa mwanasheria mkuu wa serikali tunashindwa za idi ya kumuweka nassoro katunga kilaza aliyezaliwa nyasubi,kahama mjini mzee wakuharisha kesi.
Land of Dreamers
 
Kuna watu wanaona raha tu kuishi dar hawajui wanapoteza tu muda wakati sasa hivi fursa zipo mikoani!..washamba wapo sehemu zote ila mtu akiwa dar anajiona mjanja kumbe kiuhalisia ni mshamba tu
 
Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China kwenda kutafuta maisha bora ama hifadhi ya ukimbizi.

Kwa mwaka wa 2022/23 pekee zaidi ya raia kutoka China laki 3 walizamia Marekani kupitia mpaka wa Marekani na Mexico na wengine kuendelea kwenda Canada kutafuta maisha Bora.

Xi Jinping Mi mi
Utazamia kwenye nchi yenye watu zaidi b+ na kila mwaka watu zaidi ya laki moja wana graduate na wanajua kila kitu unawapelekea nini kipya!!?.....wamarekani siyo kwamba hawaendi China sababu maisha kwao ni mazuri sana basi hawana jinsi tu
 
Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China kwenda kutafuta maisha bora ama hifadhi ya ukimbizi.

Kwa mwaka wa 2022/23 pekee zaidi ya raia kutoka China laki 3 walizamia Marekani kupitia mpaka wa Marekani na Mexico na wengine kuendelea kwenda Canada kutafuta maisha Bora.

Xi Jinping Mi mi
  • Mainland China:
    A 2010 census indicated that there were 71,493 Americans living in mainland China.
  • Hong Kong:
    In 2018, the US consulate estimated around 85,000 Americans in Hong Kong, though this number has since dropped to 70,000 in January 2023.
  • Reasons for living in China:
    Americans live in China for various reasons, including job opportunities, educational pursuits, and retirement
  • US citizens working in China's high-tech sector, particularly in semiconductors and AI
 
Back
Top Bottom