Mleta uzi unaujua msemo usemao nabii hakubaliki kwao?. Mwalimu alifanya mengi ambayo yanaifanya Tanzania ibakie kama ilivyo hivi sasa. Maono yake yaliondoa kabisa ukabila na ukanda. Kama tusingekuwa na mawazo na mitazamo yake, leo hii ni makabila machache sana ambayo yangekuwa yamestawi kiuchumi na mengi mengine yangekuwa ni makabila yenye kuwatumikia hao wachache.
Kiuchumi hakufanikiwa lakini ni marais wachache sana walioasisi nchi za Afrika ambao wanaweza kujisifu kwamba walifanikiwa kiuchumi.
Ni jukumu la hawa viongozi wa sasa kutumia rasilimali watu yenye elimu, kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi nzima na ule wa mwananchi mmoja mmoja.
Voltaire alijitahidi sana kuandika vitabu vingi vya kumkosoa Masihi wa Bwana. Lakini havikupunguza kuongezeka kwa wafuasi wake ambao leo hii wapo hadi China.Rais Nyerere hafai kukumbukwa kwa lolote
Ukisema kaleta Uhuru kasome makala za Mohammed said utaelewa kazi ya viongozi wa TAA juu ya Uhuru na kazi ya Nyerere.
Nani alimruhusu kusema nchi haina dini halafu akatupa wimbo wa taifa tumuombe Mungu. Nani alimruhusu kuwa tunataka ujamaa? Alifanya referendum wapi? Nani alimruhusu kutaifusha Mali za watu,viwanda,viwanja,mashule,vyuo,nk? Nani alimruhusu kukusanya watu kwenye vijiji na maroli huku wakiwa chini ulinzi kwa waliopinga.
Nani alimruhusu kuua demokrasia na kupiga marufuku vyama vingi?
Serikali yake ikajaa umangimeza, hakuna wakuihoji, zikadumu fikra za mwenyekiti kwa mdamrefu, nan alimruhusu?
Akatumia rasilimali na fedha za chi kukomboa bara zima la Afrika bila kuweka mkataba kuwa fedha zile sio zake Bali za wananchi kwa hiyo wakipita Uhuru wao wazirudishe matokeo yake hata South Africa tuliowasaidia wenyeji hawataki wahamiaji na wanawaua, je rasilimali zetu zilizowanufaisha sisi tumenufaika na nini?
Nina mengi sana lakini ngoja niachie hapa, sasa najiuliza Nyerere tunamkumbuka kwa lipi hata tuweke eti Nyerere day?
Tafakari
Faiza Foxy inawezekana wewe ulikuwepo enzi hizo. Nyerere alitufundisha kuwa na umoja, alipiga vita ukabila na ukanda.Si kweli.
Nyerere hakukuta ukabila na ukanda, hata yeye alikuwa wakuja Dar na akapokelewa na kulazzwwa, kulishwa kuvishwa na akina Sykes. Hilo lipo wazzi kabisa.
Ingekuwa kuna ukabila na ukanda au udini kama unavyotaka kutuaminisha, jee Nyerere angekaribishwa na Waislam wa Dar? Fikiri.
Ukabila tulikuja kuuona baada ya azimio la Arusha, mpaka ukapewa jina "udugunaizeshen". Sijuwi kama ulikuwepo.
Rashidi mfaume kawawaIcons of Africa;
Nelson Mandela
Kwame Nkurumah
Julius Kambarage Nyerere
Ndio maana wanasema kwa nini tusiweke siku ya kuwakumbuka legends wote waliopigana uhuru,tukiweka NyerereDay tuu huoni tutakuwa tumewabagua wengine pia?Kwako wewe huyo Mohammed Saidi ni nani hasa mpaka uamini alichoandika,
Nenda Maktaba kasome history ya Tanzania utaelewa umuhimu wa Nyerere, Kambona, Bibi Titi Mohammed na wengineo.
Tatizo unaongozwa na mihemko.
Kwani mtu usipokuwa na dini huwezi kumuomba Mungu wewe binafsi!!
Wimbo wa taifa ni sala ya pamoja kwa wenye dini,wapagani, Wakristo kwa waislamu.
Punguza Mihemko ndugu, Tanzania ni yetu site.
Kwa kifupi aliruhusiwa na katiba ya nchi ambayo ndiyo inampa mamlaka ya kuamua nini afanye na nini asifanye kama mkuu wa nchi.Mhe.Thomaso swali la nyongeza!Rais Nyerere hafai kukumbukwa kwa lolote
Ukisema kaleta Uhuru kasome makala za Mohammed said utaelewa kazi ya viongozi wa TAA juu ya Uhuru na kazi ya Nyerere.
Nani alimruhusu kusema nchi haina dini halafu akatupa wimbo wa taifa tumuombe Mungu. Nani alimruhusu kuwa tunataka ujamaa? Alifanya referendum wapi? Nani alimruhusu kutaifusha Mali za watu,viwanda,viwanja,mashule,vyuo,nk? Nani alimruhusu kukusanya watu kwenye vijiji na maroli huku wakiwa chini ulinzi kwa waliopinga.
Nani alimruhusu kuua demokrasia na kupiga marufuku vyama vingi?
Serikali yake ikajaa umangimeza, hakuna wakuihoji, zikadumu fikra za mwenyekiti kwa mdamrefu, nan alimruhusu?
Akatumia rasilimali na fedha za chi kukomboa bara zima la Afrika bila kuweka mkataba kuwa fedha zile sio zake Bali za wananchi kwa hiyo wakipita Uhuru wao wazirudishe matokeo yake hata South Africa tuliowasaidia wenyeji hawataki wahamiaji na wanawaua, je rasilimali zetu zilizowanufaisha sisi tumenufaika na nini?
Nina mengi sana lakini ngoja niachie hapa, sasa najiuliza Nyerere tunamkumbuka kwa lipi hata tuweke eti Nyerere day?
Tafakari
Na mimi nakuuliza wewe,nani alimruhusu Nyerere kuunganisha watanganyika wa makabila tofauti kuwa wamoja?pia nani alimruhusu Nyerere kujenga viwanda ambavyo makada wa CCM wamevifilisi?nani alimpa Nyerere kibali cha kuwa mwanamapinduzi mpaka majuzi AU wamelipa jina lake jengo lao la Amani kule Ethiopia,lililozinduliwa na waziri mkuu wa Ujerumani?.Alafu ukimaliza kunijibu uweke na CV yako alafu tulinganishe michango yako na yake kwenye maendeleo ya taifa hili!Rais Nyerere hafai kukumbukwa kwa lolote
Ukisema kaleta Uhuru kasome makala za Mohammed said utaelewa kazi ya viongozi wa TAA juu ya Uhuru na kazi ya Nyerere.
Nani alimruhusu kusema nchi haina dini halafu akatupa wimbo wa taifa tumuombe Mungu. Nani alimruhusu kuwa tunataka ujamaa? Alifanya referendum wapi? Nani alimruhusu kutaifusha Mali za watu,viwanda,viwanja,mashule,vyuo,nk? Nani alimruhusu kukusanya watu kwenye vijiji na maroli huku wakiwa chini ulinzi kwa waliopinga.
Nani alimruhusu kuua demokrasia na kupiga marufuku vyama vingi?
Serikali yake ikajaa umangimeza, hakuna wakuihoji, zikadumu fikra za mwenyekiti kwa mdamrefu, nan alimruhusu?
Akatumia rasilimali na fedha za chi kukomboa bara zima la Afrika bila kuweka mkataba kuwa fedha zile sio zake Bali za wananchi kwa hiyo wakipita Uhuru wao wazirudishe matokeo yake hata South Africa tuliowasaidia wenyeji hawataki wahamiaji na wanawaua, je rasilimali zetu zilizowanufaisha sisi tumenufaika na nini?
Nina mengi sana lakini ngoja niachie hapa, sasa najiuliza Nyerere tunamkumbuka kwa lipi hata tuweke eti Nyerere day?
Tafakari
Rais Nyerere hafai kukumbukwa kwa lolote

kifo kila MTU atakufa huez furahia kifo cha mtukinakumbukwa kifo chake,kwahiyo wewe unaye mchukia unaweza kufurahia kufa kwake!!
ndo uhuzunike sasa leokifo kila MTU atakufa huez furahia kifo cha mtu
Tangu mgombea wetu ashinde urais wewe na dada yetu FF mmepotea sana mkuu. Tumewamiss kweli!
Nimecheka sana!Mkuu hoja hizi ni nzito sana....wasubiri wenyewe waje.