Mtoto huyu wa kke anaonekana kufanana na huyo bwana! Lakini i was blind for over ten yrs ingawa jambo hili limenitesa. Sasa anasoma sec. na jina la shule silijui! Lakini anadai eti alibadilisha jina kwa hasira tu na sasa amataka turudiane. Inakuja?
Kumbe jibu unalo
Mimi nilidhani mnaishi naye
Tafuta Mwanamke mwingine na uzae naye
ni heri kubaki Mgumba kuliko kubeba mzig usio wako Mwisho wa siku watakukimbia wote (mama na mtoto)
Anataka mrudiane kwani kakuona una vimali na tu-vijisenti
WATAKUMALIZA NDUGU YANGU
Ukiona hivi ni lazima ulitelekeza mtoto na mama hivyo pole sana. Na sasa kama mtoto anabishaniwa au kuandikishwa jina tofauti na la kwako ni lazima ufungue kesi na maombi yako ni pamoja na kutaka mtoto afanyiwe DNA.
Mtafute huyo Ex wake (mwanaume) aliyemwandika jina mtoto kwa amani. Kaeni chini mzungumze huyo mwanamke asiendelee kuwazumguka naye ajue huyo mwanamke alivyomshenzi.
Kuna sehemu nilisoma imepunguzwa sasa hata kwa laki moja unapima DNA. Kama sijakosea hiyo bei, nenda kapime kwanza labda ni mtoto wako, huyo wa zamani aliandikwa jina tu ili ale mijihela yake. Pole
Gharama ya kipimo cha DNA ni sh.laki 3. Lakini mwanamke amemwandikisha mtoto shule kwa jina la mtu wake wa zamani baada ya kukorofishana sana. Mtoto ana miaka 13 na siku zote nimekuwa na wasiwasi. Kuna haja ya DNa