ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,460
- 67,428
hahahahhahaha aiseeMods mnitake radhi jinsi mlivyoedit kichwa cha habari ilibaki kidogo niukane huu uzi sio wangu![]()
hahahahhahaha aiseeMods mnitake radhi jinsi mlivyoedit kichwa cha habari ilibaki kidogo niukane huu uzi sio wangu![]()
Utakuwa umerudi na mifugo huko vipi damu umeweka rehani
singida laki ni sawa na one milion Dar
huko singida vijijini kuna stendi ya mkoa?soma uzi vizuriSijajua ulitaka ukute bei ya Gust house/ Lodge ni 150,000 halafu usemeje, hizo bei za 5000 ni vijijini huko ambapo umefuata Mtama, sasa sijajua upo Singida kijiji gani, ungesema na kijiji ulipo maana kwa mjini ni 15,000Tsh na zaid
Sio guest zote huku tano,na pia Hapa waweza piga hata kasichana
Utalala kwenye gar likianza safar
Anafaida anae nyoosha miguu kaunta
Nisome vizur je kuna mtihan au test nitakapomaliza au unataka kuchoshana tu, usipende vya bei rahisi mkuu,huko singida vijijini kuna stendi ya mkoa?soma uzi vizuri
Mi nishalala guest 3000 tu masaa 24 napewa na ufunguo wangu Musoma hio.Kati ya mambo yanayokera kwa msafiri katika safari zake ni hili tatizo la nyumba za kulala wageni hii huongeza gharama za msafiri lakini kwa Singida guest nzuri kabisa zilizo karibu na stendi ya mkoa yaani mita 30 tu kutoka stendi unapata guest kwa bei murua kabisa ya tsh 5000,ukiongea nao hadi mwisho ni 4500tsh!ombi kwa mikoa mingine kuiga mfano huu!message sent
Utaamka na kunguni tele wewe!Kati ya mambo yanayokera kwa msafiri katika safari zake ni hili tatizo la nyumba za kulala wageni hii huongeza gharama za msafiri lakini kwa Singida guest nzuri kabisa zilizo karibu na stendi ya mkoa yaani mita 30 tu kutoka stendi unapata guest kwa bei murua kabisa ya tsh 5000,ukiongea nao hadi mwisho ni 4500tsh!ombi kwa mikoa mingine kuiga mfano huu!message sent
Kati ya mambo yanayokera kwa msafiri katika safari zake ni hili tatizo la nyumba za kulala wageni hii huongeza gharama za msafiri lakini kwa Singida guest nzuri kabisa zilizo karibu na stendi ya mkoa yaani mita 30 tu kutoka stendi unapata guest kwa bei murua kabisa ya tsh 5000,ukiongea nao hadi mwisho ni 4500tsh!ombi kwa mikoa mingine kuiga mfano huu!message sent
Ulishawai kulala ktk utawala wa awamu ya Kikwete?, tuanzie hapo kwanza, kisha ndio turudi tujadili chanzo cha uo urahisi unaousifia Mzee?Kati ya mambo yanayokera kwa msafiri katika safari zake ni hili tatizo la nyumba za kulala wageni hii huongeza gharama za msafiri lakini kwa Singida guest nzuri kabisa zilizo karibu na stendi ya mkoa yaani mita 30 tu kutoka stendi unapata guest kwa bei murua kabisa ya tsh 5000,ukiongea nao hadi mwisho ni 4500tsh!ombi kwa mikoa mingine kuiga mfano huu!message sent