Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Kati ya mambo yanayokera kwa msafiri katika safari zake ni hili tatizo la nyumba za kulala wageni hii huongeza gharama za msafiri lakini kwa Singida guest nzuri kabisa zilizo karibu na stendi ya mkoa yaani mita 30 tu kutoka stendi unapata guest kwa bei murua kabisa ya tsh 5000,ukiongea nao hadi mwisho ni 4500tsh!ombi kwa mikoa mingine kuiga mfano huu!message sent


