Hakuna furaha anayoipata mwanamke kama hii!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,101
Ni furaha sana kwa mwanamke unayemtongoza kukulia vijisenti vyako na asikupe papuchi!huwa wanajiona washindi sana na kukublock watakublock tu!

Team kiumeni ni marufuku kumpa pesa mwanamke yeyote ambaye sio mpenzi wako, sio mama yako, sio shangazi yako, sio binamu yako, sio bibi yako!

Zaidi ya hapo nipe nikupe, hakuna habari za Western Union wala M-Pesa ni cash on hand
 
We always pay after service
Ni furaha sana kwa mwanamke unayemtongoza kukulia vijisenti vyako na asikupe papuchi!huwa wanajiona washindi sana na kukublock watakublock tu!
Team kiumeni ni marufuku kumpa pesa mwanamke yeyote ambaye sio demu wako,sio mama yako sio shangazi yako,sio binamu yako,sio bibi yako!zaidi ya hapo nipe nikupe,hakuna habari za western Union wala m.pesa ni cash on hand
Not otherwise
 
Kufungua uzi kama huu huo ni Ushangazi.
 
mwanamke mjinga tu ndio anaweza akala hela za mwanaume kisha asimpe penzi,mwanamke mwerevu hawezi fanya hivyo maana anajua madhara yatakayo tokea labda uyo mwanume husika aamue mwnyewe kupotezea.
 
Wengine hutoa pesa for future consumption, anakunyima leo itamkosesha usingizi tu kuna siku utashangaa unatafutwa kwa udi na uvumba, mpaka unajiuliza huyu kapatwa nini
 
Nikisikia watu wanatoa hela kipindi cha kutongoza uwaga nashangaa sababu sijawahi fanya hivo.

Outing sawa tutaenda kwa gharama zangu ukileta njaa nafuta namba zako.why sababu si date wanawake wajinga wajinga siwez kuchukua namba yako week haijaisha uombe hela!!!hiko ni kipimo utakuwa hujielewi au umeniona mimi sijielewi na sipo tyr kudate type hii ya mwanamke. Kila mtu na type yake.

Naenda kutongoza nikiwa na kibri sababu najua no matter what siwezi kutembea na kila mwanamke dunia hii so i stick to my standards.
 
Ni furaha sana kwa mwanamke unayemtongoza kukulia vijisenti vyako na asikupe papuchi!huwa wanajiona washindi sana na kukublock watakublock tu!
Team kiumeni ni marufuku kumpa pesa mwanamke yeyote ambaye sio demu wako,sio mama yako sio shangazi yako,sio binamu yako,sio bibi yako!zaidi ya hapo nipe nikupe,hakuna habari za western Union wala m.pesa ni cash on hand
umeanza kuwa mkubwa sasa hongera...
 
Back
Top Bottom