GiftedMan94
Senior Member
- Dec 28, 2017
- 115
- 342
Nimefuatilia kwa karibu sakata la wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA. Nimegundua kuwa CCM wala tume hawahusiki kabisa wanasingiziwa na kuonewa.
Kwanza Tume kazi yake ni kupokea majina kutoka kwa Chama kupitia katibu mkuu wa Chama na sio kazi ya tume kupeleleza kujua saini imegushiwa au la!
Kama kuna jambo hilo basi ni jinai iliyofanywa na Halima na wenzake hakuna sababu ya kuilaumu tume.
Pili kundi hili karibia wote walikuwa wagombea majimboni badala ya kushindwa uchaguzi ambao ULIKUWA HURU NA HAKI ( CHADEMA walishindwa uchaguzi) wakaona watafute njia nyingine ya kuendelea kujadiliwa.
Basi inawezekana kabisa ni mpango wa Chadema wenye kusuka hili sakata ionekane Tume na Chama tawala kinataka kukihujumu Chadema. Chadema kinataka kujitekenya na kucheka chenyewe.
MWISHO, CHADEMA kipambane chenyewe na wa wanachama wao bila kuhusisha Tume na wala Bunge. Kama jinai imetendeka waende mahakamani. Na kama ni kusuka hilo sakata wenyewe basi mpango ushafeli.