Hakuna aliyejiumba!

hata hiyo uliyoweka imependezea sana

atii umesahau mm nilikwambia kuwa nimeolewa
kiuhalisia au kijf? hebu nikumbushe kidogo nshasahau
achana na kihalisia bana, nataka kwanza ki-jf jf mamii, sikuonagi ukiwa na kampani yoyote, unajua nilikutongozaga sana enzi zile... tukafika mbaaali sana!! ghafla nikashangaa umetoweka kama moshi!

dah.. iliniuma sana kama sindano ya asubuhi asubuhi...
 
Hapo sasa umeongea na bora tulivyokuchokonoa
 
pole mwaya kwa yote hayo usijali
mm niko kisingle+ double = doublesingle
hivyo huwaga spendi kampani za humu kwani nyingi ni :flypig:
na isitoshe ziko kwenye TEAMbazazi
sasa mm niko kiaina aina, ila usiumie si uko kwa ajili yangu tena au?

 
Last edited by a moderator:
Uzuri ni nini?
Uzuri kulinganishwa na kipi/nani?
Uzuri unaonekana,unasikika ama unahisiwa?
-Wako watu wanaona mtu wanasema "huyu mzuri kwelikweli"..
-Wako watu wanasikia wanamsikia mtu au hata jina lake tu halafu utawasikia "atakuwa mzuri kweli huyu anayeongea/mwenye jina hili"..
-Wako watu wanafanya ngono/'mapenzi' bila hata kuona nyeti za mhusika lakini utawasikia "mzuri kweli yule pale chini"...
-Vipofu pia hujua wazuri,viziwi nao pia..
Ni kazi sana kujiamulia tu kuwa u mzuri kama ilivyo kazi sana kujua uzuri ni nini haswa!!!
 
thats it mkuu hazel na nimependa ufafanuzi wako wa kina kuhusiana na hili utu ni kila kitu kwani hicho ndicho kinachotupa hili jina la watu na wala si sura wala umbo.
 
Last edited by a moderator:
dada yangu KOKUTONA sina mengi zaidi umemaliza nami nakuupa pongezi kwanza kwa kujikubali wewe mwenyewe,pili kwa kutodharau wengine kutokana na mionekano yao na tatu kwa kujifunza kutokana na mambo yanayotokea hapa duniani huo ni mtazamo mzuri sana na ni tabia nzuri sana be blessed dada.
 
Last edited by a moderator:
umenena jambo muhimu sana mkuu NANDERA lakini licha ya kwamba jambo hili halitaisha hiyo si sababu ya kutufanya sisi binadamu kuacha kukumbushana pale tunapoona tuna mapungufu ninachokiamini mimi hata ikiwa somo fulani litatolewa kati ya watu 50 wawili tu wakapiga hatua wakajifunza na kubadilika hayo ni mageuzi makubwa kama nini

na nimependa point yako ya kuwa hata hao wazuri sana wala si wote wanaowaona kama wazuri,ni kweli si kila mtu atakubaliana kwamba funalani ni mzuri wapo watakaopinga kwa nguvu zao zoe kuwa ni mbaya.
 
Last edited by a moderator:

nimeipenda hii hasa kwa kumkubusha huyu mwenzetu maaneke naona yeye mwenzetu kamaliza be blessed mkuu.
 
Ukiwaona watu wanakucheka au kukushangaa kwa jinsi ulivyoumbwa, nawe wacheke na kuwashangaa kwa jinsi akili zao zilivyo ndogo hadi zikafanana zote na kutojua suala na kuumba haliko kwa mwanadamu.
 
asante kwa mchango wako mkuu.
Ukiwaona watu wanakucheka au kukushangaa kwa jinsi ulivyoumbwa, nawe wacheke na kuwashangaa kwa jinsi akili zao zilivyo ndogo hadi zikafanana zote na kutojua suala na kuumba haliko kwa mwanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…