Hakika ya vitamu havikosi sumu ndani yake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakika ya vitamu havikosi sumu ndani yake.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Spear, Sep 26, 2010.

 1. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mi s'jaelewa hapa!!!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,788
  Trophy Points: 280
  ahahahhaha!!! Hii kali. Skendo haziishi tu kwa hawa jamaa
   
 4. p

  p53 JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hao viongozi wa dini hiyo wanajifanya wako mstari wa mbele kupinga utoaji mimba na matumizi ya kinga wakati wa kujaamiiana na kujaribu kuwaasa waumini wenye mawazo hayo ni bora wavumilie,wazae hao watoto kisha kama hawawezi kuwalea ni bora wawapeleke kwao wakawalee,wakati na wenyewe wana maskandali kibao yanawaandama ya kunajisi hivyo vitoto.
  Upo mkulu?Nadhani ujumbe utakuwa umekufurahisha huu!!
   
Loading...