Hakika Waafrika hatuthaminiani

Hakika Waafrika hatuthaminiani

Walivyochomwa moto wale vifaranga walioingizwa nchini toka Kenya bila vibali, Ufipa waliwatetea sana wale vifaranga lakini Watanzania wanaoteswa Msumbiji hawatetewi,'KWELI MITANZANIA NDIVYO TULIVYO'
Umeona eennhh !!, Ubinadamu kazi ndugu yangu.
 
Kuna Maswala Wanapaswa Kufanya Viongozi Mfano Baloz Wa Tz Uko Libya Au Nchi Husika Au Wabunge Nao Wanaweza Kupaza Sauti ,pia Rais, Waziri Wa Mambo Ya Nje Nk ,,, Kwa Wana Jf Hatuna Ujinga Wowote Maana. Labda Kuwaombea Tu ,
Sasa km hawawajibiki tutafanyaje ??, Wacha tupaze sauti zetu labda watasikia na kisha kuchukua hatua.
 
Sasa huskii huko America ntu anachukua bunduki anaanza shoot wenzake bila sababu ya msingi?
Katazame IDx ndipo utajua kuwa wazungu ni vichaa kuliko hata sisi kwa mambo wanayofanyiana.
Libya kwa sasa ni nchi ambayo iko ovyo yanj haina mamlaka yenye nguvu ya kucontrol nchi nzima kama ilivyo kwa Iraq, Syria n.k hivyo hayo lazima yatokee.
Hivi ushaina mexico na brazil wale watu wanavyouana kwa kukata vichwa wakati hata siyo war zones?
Yule wa America aliyeshuti wenzake inasemekana hakuwa vizuri kichwani. Halafu Ukisikia America wanauana, iwe ni Brazil, Mexico au USA, Huwa hawauani Wazungu kwa Wazungu, hapo ujue Mzungu kamuua Muamerika Mweusi kwasababu ya Ubaguzi wa rangi. Tofauti na sisi Waafrika tunauana sisi wenyewe.
 
Kweli sisi Waafrika ni Wajinga Kweli Kweli, nasisitiza sisi ni Wajinga, Au Unabisha ?

Hivi Juzi nimeona Video Moja jinsi Watu wa Libya wanavyowatesa Waafrika wenzao mateso ya Kinyama Yaani nilishindwa kumalizia kuangalia Video ile maana inatisha. Tukiacha Libya ambako ni mbali kidogo kutoka hapa kwetu Bongo, Hebu nenda Msumbiji uone jinsi Watanzania wenzetu wanavyodhurumiwa Kikatili, Wanasahau kuwa Sisi Watanzania tuliwasaidia Kutafuta Uhuru kutoka kwa Mreno, R.I.P Baba wa Taifa, Lkn leo hii hao Washenzi wanatufanyia hivyo sisi ndugu zao ?

Kweli Afrika jinga sana. Umeshawahi sikia Wazungu wakifanyiana Unyama wao kwa wao Km umeshawahi ona hivyo leta Ushahidi wako hapa. Jamani Waafrika Tupendane sisi ni Wamoja. Nimemkumbuka Bob Marley na Wimbo wake wa Africa Unite.
Mazee, umeshawahi kusikia habari za Bosnia? Mauaji ya Stalin alivyoua Warusi wenzake mpaka akaharibu demographic pyramid ya Urusi? Ushamsikia Mao Zedong? Pol Pot? Hitler?

Top Ten Most Evil Dictators of All Time (in order of kill count) – Popten
 
Siongelei wa Marekani weusi naongelea wazungu waliokimbia kwasababu hasa za kidini enzi wanaopinga dini na utawala wa kifalme wanauawa na kuteswa tena kwa adhabu kali sana
labda umwambie kuwa kabla ya America haijawa katk muungano wa U.S.A ndio atakuelewa wakati ambao amerca ilikuwa nimashamba..mwambie kuwa g.Washington walikuwa na kikundi cha wanamgambo waliokuwa wamejikusanya toka ktk majimbo yote yanayofahamika hii Leo kisha wakawa wanapigana na koloni lao LA waingereza mpka waingereza waliopoona kuwa watazidiwa nguvu nakuwapoteza askari wao waliowengi ndio wakaamua kusaliti amri

anyway mada ya mleta Uzi ni nzuri mnoo..inatukumbusha umoja wetu kama waafrica nakwahayo yafanyikayo Libya niwazi yanatuvunjia utu wetu nakutufnya tuonekane kuwa hatujitambui kabisa..mambo kama hayo wazngu walifnyiana katk karne ya 16 huko nasio ktk zama hizi zaleo ..kipindi ambacho tunapaswa kuungana nakujikomboa ktk minyorolo ya utumwa wakifikra ndio tunazidi kuidhihirishia dunia kuwa hatujielewi na bado tunasafari ndefu yakufikia huo ukombozi...maana tunaopaswa kujikomboa Leo tunafnyiana unyama wenyewe kwa wenyew
 
Yule wa America aliyeshuti wenzake inasemekana hakuwa vizuri kichwani. Halafu Ukisikia America wanauana, iwe ni Brazil, Mexico au USA, Huwa hawauani Wazungu kwa Wazungu, hapo ujue Mzungu kamuua Muamerika Mweusi kwasababu ya Ubaguzi wa rangi. Tofauti na sisi Waafrika tunauana sisi wenyewe.
Mkuu usinichekeshe eti wazungu hawauani kwa wazungu.
Oklahoma city bombing ushawahi kusikia? Aliyefanya bombong hiyo mzungu.
Mara nyingi tu wazungu wana shoot wazungu wenzao.
Kule Bosnia watu wameuawa na wazungu wenzao achilia mbali Yugoslavia.
Huko Mexico na Brazil ma drug Cartels eanachinjana kama kuku wanateka watu mara kadhaa wanavamia na kuchinja watu vijijini na kuwazika wote kwenye kaburi moja.
Sitetei kinachotokea Libya, ila napingana nawe kusema ni sisi waafrica tu tunaofanya hivyo
 
Ilikuwa Mwaka gani ??. Km ni zamani hapo piga chini maana sasa wamesha kuwa Civilized.
 
Kweli sisi Waafrika ni Wajinga Kweli Kweli, nasisitiza sisi ni Wajinga, Au Unabisha ?

Hivi Juzi nimeona Video Moja jinsi Watu wa Libya wanavyowatesa Waafrika wenzao mateso ya Kinyama Yaani nilishindwa kumalizia kuangalia Video ile maana inatisha. Tukiacha Libya ambako ni mbali kidogo kutoka hapa kwetu Bongo, Hebu nenda Msumbiji uone jinsi Watanzania wenzetu wanavyodhurumiwa Kikatili, Wanasahau kuwa Sisi Watanzania tuliwasaidia Kutafuta Uhuru kutoka kwa Mreno, R.I.P Baba wa Taifa, Lkn leo hii hao Washenzi wanatufanyia hivyo sisi ndugu zao ?

Kweli Afrika jinga sana. Umeshawahi sikia Wazungu wakifanyiana Unyama wao kwa wao Km umeshawahi ona hivyo leta Ushahidi wako hapa. Jamani Waafrika Tupendane sisi ni Wamoja. Nimemkumbuka Bob Marley na Wimbo wake wa Africa Unite.
Ukatili uko dunia nzima ila kwa afrika ni kwamba tumeshindwa kujitawala
 
Mkuu usinichekeshe eti wazungu hawauani kwa wazungu.
Oklahoma city bombing ushawahi kusikia? Aliyefanya bombong hiyo mzungu.
Mara nyingi tu wazungu wana shoot wazungu wenzao.
Kule Bosnia watu wameuawa na wazungu wenzao achilia mbali Yugoslavia.
Huko Mexico na Brazil ma drug Cartels eanachinjana kama kuku wanateka watu mara kadhaa wanavamia na kuchinja watu vijijini na kuwazika wote kwenye kaburi moja.
Sitetei kinachotokea Libya, ila napingana nawe kusema ni sisi waafrica tu tunaofanya hivyo
Tena kwa kumsaidia huyu jamaa yetu Oklahoma City bomber alikua former US marine na alikua anaitwa Timothy McVeigh..huko Yugoslavia kuna wababe wa vita wakina slobodan Milosevic na huyu mwingine anaesubiri hukumu the Hague ratko mladic alikua general WA jeshi wakati wa vita ya Serbian na bosnia.Watanzania huwa ni wavivu wa kufikiri na wasiosoma historia kabisaa ila ni mabingwa ya kuja kuongea kwenye mitandao bila facts na research za kutosha.
 
Mmhh !!!, mimi sina hakika.
Just google Oklahoma city bombing yanu ni simple utapata references hata mia.
Hapo juu mdau kakwandia na jina aliyetekeleza hilo shambulizi ambapo watoto wengi walifariki pia na ndipo Marekani ikapitisha sheria ya ugaidi wa ndani...
 
Back
Top Bottom