Hakika Uhuru Kenyatta ana tofauti Kubwa na Wengine EA

"Nchi ya democrasia Ile uwezi linganisha na nchi ya kidicteta"

Wewe utalinganisha mtu wa democrasia na mtu mtu dicteta jinsi wanavyokaa na kuonekana never"

Niliishi na wakikuyu sana Nairobi ni watu wakarimu sana wanaipenda nchi yao sio kwamba wana ukabila kama tunavyoaminishwa na watu wengine makabila mabaya kenya ni yale madogo madogo yanajihisi yanatengwa katika utawala wa kenya kitu ambacho sio kweli leo hii kenya maendeleo yapo mikoa yote.

Sio kama kipindi cha Moi alivyokuwa anawabagua wakikuyu na makabila mengine ndio maana unaona sasa hivi Ruto itakuwa ngumu kwake kwenda Ikulu 2022 kwa sababu ya historia yake kwenye kuwasababisha wakikuyu wengi kauawa mwaka 2007.

Uhuru ni presidential material watamkumbuka sana wakenya siku akiondoka sioni kabisa wa kuja kuziba pengo lake exactly 100%.
 
ana furaha. pamoja na machafuko ya wakenya bado haofii usalama wake. huyu mhutu sijui huwa anaogopa nini
Ndio uzuri wa kuzaliwa kwenye familia za ushuani lazima uwe mtu wa amani muda wote, na huna hofu, tatizo la huyo mwingine ni kuzaliwa kwenye umasikini na kuona umasikini ni baraka!! Na utajiri ni laana!na kutumia neno wanyonge kama ndio mtaji wake huku wao wananemeka!!!
 
1076787

Usalama Kwanza Mengine baadae!!
 
Hii mbinu ya Uhuru mwl. Nyerere aliitumia sana kwa kukaa vijiwe tofauti kama kile cha saigon kariakoo ili kupata taarifa za hali halisi ya kiuchumi kutoka kwa mwananchi mwenyewe! JK naye alikuwa nayo pamoja na mzee Mwinyi. Ila che Nkapa na huyu wa leo hawachangamani na raia wa kawaida kabisa na ndio maana taarifa wanazopewa zimepambwa hadi zinakosa uhalisia!
Hongera Uhuru kwa kuwa rais wa watu na siyo wa reli!
 
Back
Top Bottom