Hakika sijutii kununua pikipiki aina ya boxer 150(bm150)

Mme Mwenza

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2025
Posts
1,894
Reaction score
2,420
Hakika ipo gudi sana.
Inanipa kilometer 135 kwa mafuta ya elfu 6,000.

Ukiachana na vipuri vyake adimu kuvipata ila hizi pikipiki zipo vizuri sana
Ukijali umwagaji wa oil na filter kubadili kwa muda mwafaka, kwa fundi matengenezo mengne utayasikia tu kwa wengine.
 
Dah,,,, ! Pikipiki ni kama unatembea na kifo !

Anyway kuwa mwangalifu road, unaweza kuwa makini ukakutana na wapumbavu wameshalewa ama wana stress wakakusababishia ajali !

Kwa miundo mbinu yetu ilivyo mijini sio rafiki kwa pikpk, bora kijjn huko amna magari mengi pia Road za kawaida unatembea kwa mwendo wa wastani !
 
ni private mkuu, usalama nazingatia. Ushauri wako upo makini ntazingatia
Hapo unyama aisee. Nina ndugu yangu pia ana private hapa Dar, formula yake ni moja hana haraka. Yupo radhi apite njia ndefu ya 10 km kuliko shortcut iliobusy ya 5 km.

Pia wekeza kwenye kofia. Achana na izo kofia za elfu 30. Tafuta ata Laki 1 ununue kofia nzuri mkuu.
 
ndo hvo mkuu haraka haraka mwishowe unachelewa kufika kwel.

Ila hiyo kofia ya laki ndo ipoje mkuu
 
Dah,,,, ! Pikipiki ni kama unatembea na kifo !

Anyway kuwa mwangalifu road, unaweza kuwa makini ukakutana na wapumbavu wameshalewa ama wana stress wakakusababishia ajali !

Kwa miundo mbinu yetu ilivyo mijini sio rafiki kwa pikpk, bora kijjn huko amna magari mengi pia Road za kawaida unatembea kwa mwendo wa wastani !
ni kwel mkuu pikipk ni roho mkonon. Japo vyombo vya moto vyote ni hatar.

Unaweza kuwa makini ila ukasababishiwa na wengne
 
Jaribu Honlg HL 200gy au 250
images (5).jpeg

Hii haiumizi mgongo....Dar-mwanza 12hrs non stop.. hii roho ya paka
 
Back
Top Bottom