Hakika Nyerere Alikuwa Baba Wa Taifa, Soma Hii

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Chukua mwaka aliokufa Nyerere 1999 kisha toa na mwaka uliozaliwa wewe ongeza na miaka 18 ya kifo chake, utapata umri wako sahihi hapo ndio utajua alikuwa baba wa TAIFA,
IKIJA NAMBA TOFAUTI WEWE UTAKUWA SIO RAIA WA TANZANIA.
 
Hata babu yangu alikufa 1999,nikimtumia babu yangu kama kielelezo,hesabu zitagoma kwakuwa sio baba wa taifa?????
Lumumba mnaanza kuwa wehu!
 
2000+17=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
1999+18=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
1998+19=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
1997+20=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
1996+21=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
Kwisha habari
Hesabu za kitoto sana
 
Chukua mwaka aliokufa Nyerere 1999 kisha toa na mwaka uliozaliwa wewe ongeza na miaka 18 ya kifo chake, utapata umri wako sahihi hapo ndio utajua alikuwa baba wa TAIFA,
IKIJA NAMBA TOFAUTI WEWE UTAKUWA SIO RAIA WA TANZANIA.
Wana Lumumba wenzio akina FaizaFoxy wanalitambua hili?
 
2000+17=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
1999+18=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
1998+19=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
1997+20=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
1996+21=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
Kwisha habari
Hesabu za kitoto sana
Sio za kitoto. Hii ni Arithmetic Progression.
 
Chukua mwaka aliokufa Nyerere 1999 kisha toa na mwaka uliozaliwa wewe ongeza na miaka 18 ya kifo chake, utapata umri wako sahihi hapo ndio utajua alikuwa baba wa TAIFA,
IKIJA NAMBA TOFAUTI WEWE UTAKUWA SIO RAIA WA TANZANIA.
Umetisha tata madiba
 
hiyo kitu au sawa na hiyo mathematical manipulation imezunguka sana! Not new please! It is mathematical manipulations!
 
Kwahiyo kama ni arithmetric progression unadhani hiyo itabadilisha ukweli kuwa hayo mambo tuliyafanya utotoni.
Tulikuwa tunaita mchezo wa namba
Utoto UPI? Darasa la sita ni utoto?
Utoto ni kama vile:
1: Kuchezea matope 2: kujificha 3::kombolela4::mchezo wa kibaba baba. 5::Kutengeneza magari.
 
Back
Top Bottom