Hakika ng'ombe wa maskin hazai

kumjibia maswali? Au kujibu swali? Pili naitwa kilahunja na si kilahuja, then Kama nimekukera basi na wewe anzisha thread yako ya kunikosoa uone kama italeta mantiki, si kila k2 cha kuanzishia majadala..mwisho nisamehe sana kwa kukuuzi sitarudia tena.


binti unamaneno wewe.
 
pole sana vuta subra Mungu atakusaidia pia uskate tamaa Mungu akawii wala hawai kujibu maombi hujibu kwa wakati wake kikubwa mwamini Mungu tu na kujituma si nguvu nyngne
 
you need to pray, the only way to success just COMMIT WHATEVER YOU DO TO GOD AND YO PLAN WIL SUCCEED,
Dont give up, si unajuaga kukata tamaa ni dhambi vile?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom