Hakika mwisho wa Makamba family umekaribia

Delegate

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
331
201
Ninajiuliza maswali mengi,hakika kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho,ngoma ikivuma sana mwisho hupasuka,maringo yote maneno na majivuno yote ya familiya ya Makamba inakaribia mwisho kabisa kwenye ulimwengu wa media,hakika hatutasikia tena jina hilo la Makamba,Mungu anasafisha uchafu wote na jina la bwana libarikiwe sana kwa kweli.
 
Kwa staili ya utendaji wa rais,yafaa January akakaa kando kulinda heshima ya serikali.
 
Back
Top Bottom