Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Huu ndio uwezo wa kisiasa unaohitajika. Hotuba haina kejeli, matusi wala maneno ya kuudhi wengine.
Kumbe ndio maana wale wanao muogopa kwa kusema kwake ukweli bila woga wala Uchadema bali Utanzania hawataki aendelee kuwepo siasani na pengine hata duniani.