Hakika Lissu is destined

Hakika Lissu is destined

Ndio mwanasiasa pekee alipambana na Magu ana kwa ana mpaka kutwangwa risasi
Hakika, na Magufuli alikuwa msukuma mwenye ego ya kurithishwa yaani ilikuwa ni zaidi ya yule jamaa wa "msukuma ndani"
 
Sahihi kabisa sababu ujuaji sio kosa na sio aibu, sifahamu kwanini huwa hili neno linatumika kama tusi.
My dad used to call me "we lijuaji sana"
And that sting of pain still sticks with me to this very day...

Japo sasa najua ya kuwa mimi ni mjuaji and there's nothing wrong with that
 
He's a true definion of walking your purpose... He indeed is
View attachment 3658199

Kuna watu wa wamekuja duniani ku accomplish jambo fulani mpka lliitimie, mfano wakina Gandi, kina mother Teresa, kina, Tupac Shakur...

Thse people risked their own very lives kwa ajili ya kuacha alama.

Him, too.... Maana imagine someone coming out of 16 bullets? In fact alipaswa kuwa tayari awe kafa kabisa, kuna mtu anakula bullet moja tu, then imeisha hiyo. But God saved him, then after salvation bado karudi na moto ule ule, without fear... Can you imagine how powerful of a person that is? Wengine huenda angejemga trauma na akaishia kufa kwa magonjwa nyemelezi, ila jamaa ka turn pain into power, yaani hapo tayari kashashinda katika ulimwengu wa giza. He's truly a winner.

Hakuna legend ambae atakuja kuimbwa kama huyu jamaa, he's truly a walking legend. To this point hata kama akishindwa kesi or what, he's a winner to the hearts of millions. He's truly one of a kind. Hakuna anayetamani hata kunusa kile alichopitia, and y'all out here enjoying the show.
Ndo maana wanaume wanaojielewa wanaachia ngazi, how come jina lako like lihusishwe kwenye wale walopigana kisiasa na huyu mwamba? Kama mwanaume lazima ujue how bad it is going to ruin your reputation. Ndo maana wanajitoa kabisa coz it ain't worth it.

Mimi sio mfatiliaji wa siasa ila, I can't hold to say that, this man Lissu, is a warrior.

View: https://www.facebook.com/share/v/1DTx1HxAq1/
 
Magufuli alichokosea ni kutaka changes without democracy.. Na huo sio uongozi bali ni udikteta
Unaweza negotiate na watu ambao hawataki hizo changes? Unafikiri watu wenye balls kama za Magufuli hawakuwepo miaka yote huko nyuma?😄

Trust me kuna watu wengi ambao hawafurahishwi na yanayoendelea ila hawako on the upper hand. You need to be on the upper hand ili ku battle na watu wasiotaka mabadiliko. Otherwise unapotea kabla ya jua halijachomoza.
 
Na kutotengeneza taasisi kajifanya yeye atosha wakati akijua ugali wake ataondoka nao
Amini ni ngumu mno kutengeneza taasisi imara katika hii nchi iliyooza tayari. Huwezi elewa ila 80% ya walioko kwenye decision making positions na vyeo currently watakuwa against wewe.

Kujenga taasisi imara kwa sasa utahitaji kufanya elimination of corruption and looting of public funds kabla ya ya lolote. Ujenge mfumo ambao uta centralize mapato, kuya control na execution of commands from Top to Down. Hapo kinachokuwa kinafanya kazi ni terms, conditions and orders hamna negotiations. Uki mess up unakuwa eliminated kwenye mfumo pasi na kuangaliana sura na wawepo watchdogs wa kuhakikisha hamna anaye mess up akabaki salama. Kwa sasa tuna PCCCB na TAKUKURU ila ni kama Toothless Dogs.
 
Ndio maana namheshimu sana Mkapa alifocus na alianzisha institutions na infrastructure muhimu ambazo zinatuongoza ingawaje wahuni wanazunguka ,alikuwa underestimated sana lakini foundation ya hizi taasisi kuanzia TRA,TASAF,PCCB,Tanzania investment center,public procurement act,TANROADS etc ni Mkapa, huyu dikteta ni utekaji na mauaji tuu
 
Unaweza negotiate na watu ambao hawataki hizo changes? Unafikiri watu wenye balls kama za Magufuli hawakuwepo miaka yote huko nyuma?😄

Trust me kuna watu wengi ambao hawafurahishwi na yanayoendelea ila hawako on the upper hand. You need to be on the upper hand ili ku battle na watu wasiotaka mabadiliko. Otherwise unapotea kabla ya jua halijachomoza.
Sahihi ila unazungumzia the wrong approach ila good intentions
 
Amini ni ngumu mno kutengeneza taasisi imara katika hii nchi iliyooza tayari. Huwezi elewa ila 80% ya walioko kwenye decision making positions na vyeo currently watakuwa against wewe.

Kujenga taasisi imara kwa sasa utahitaji kufanya elimination of corruption and looting of public funds kabla ya ya lolote. Ujenge mfumo ambao uta centralize mapato, kuya control na execution of commands from Top to Down. Hapo kinachokuwa kinafanya kazi ni terms, conditions and orders hamna negotiations. Uki mess up unakuwa eliminated kwenye mfumo pasi na kuangaliana sura na wawepo watchdogs wa kuhakikisha hamna anaye mess up akabaki salama. Kwa sasa tuna PCCCB na TAKUKURU ila ni kama Toothless Dogs.
Labda useme wengine hao walikuwa under control na wako under control vizuri tu...

Labda useme kuna upper hand tofauti ambaye ahusiki kabisa na system ila anai control.
 
Labda useme wengine hao walikuwa under control na wako under control vizuri tu...

Labda useme kuna upper hand tofauti ambaye ahusiki kabisa na system ila anai contr ofol.
Anaye call the shots ni raia namba 1, wanao control uchumi ni wafanyabiashara wakubwa na Donors toka nje. Ila donors hawana nguvu kama nchi ina uchumi imara from the inside.

Ikitokea raia namba 1 akaamua ku collude na wafanyabiashara nchi itaendeshwa kwa interest za wafanyabiasha. Aki collude na donors the same thing will happen.
 
Kwa nini useme donors hawana nguvu ilihali they're giving us conditions every day?

Na unayosema mwananchi namba moja ambaye ni raia kwa muktadha huo! A collude na donor? How is that eve possible?

Wafanya biashara wako under dominion za hawa wenye nchi! Na hao wenye nchi wako limited na donors. Unafikiri donor atakubali uchumi wa ndani uwe stahimiluvu? Ni lazima amu attack kiongozi ili akubali donor apate advantage
 
He's a true definion of walking your purpose... He indeed is
View attachment 3658199

Kuna watu wa wamekuja duniani ku accomplish jambo fulani mpka lliitimie, mfano wakina Gandi, kina mother Teresa, kina, Tupac Shakur...

Thse people risked their own very lives kwa ajili ya kuacha alama.

Him, too.... Maana imagine someone coming out of 16 bullets? In fact alipaswa kuwa tayari awe kafa kabisa, kuna mtu anakula bullet moja tu, then imeisha hiyo. But God saved him, then after salvation bado karudi na moto ule ule, without fear... Can you imagine how powerful of a person that is? Wengine huenda angejemga trauma na akaishia kufa kwa magonjwa nyemelezi, ila jamaa ka turn pain into power, yaani hapo tayari kashashinda katika ulimwengu wa giza. He's truly a winner.

Hakuna legend ambae atakuja kuimbwa kama huyu jamaa, he's truly a walking legend. To this point hata kama akishindwa kesi or what, he's a winner to the hearts of millions. He's truly one of a kind. Hakuna anayetamani hata kunusa kile alichopitia, and y'all out here enjoying the show.
Ndo maana wanaume wanaojielewa wanaachia ngazi, how come jina lako like lihusishwe kwenye wale walopigana kisiasa na huyu mwamba? Kama mwanaume lazima ujue how bad it is going to ruin your reputation. Ndo maana wanajitoa kabisa coz it ain't worth it.

Mimi sio mfatiliaji wa siasa ila, I can't hold to say that, this man Lissu, is a warrior.
This Person is the best example of True Man
 
Back
Top Bottom