Hakika kikulacho kinguoni mwako:!

Ndugu zangu msitetee kisichoweza kupata utetezi..watu wengi hawana ajira..lakini hawapati hata wazo la kumchomolea mtu hela mfukoni..now how can you sit there and try to justify a massacre using an excuse of unemployment?

sababu zakufanya uhalifu ziko nyingi sana na moja wapo ni unemployment.
mbona una hasira sana unadhani mimi nina muda wa kutetea upuuzi?
kwa tuliobahatika kusoma criminology tunajua zipo theory nyingi sana zinazoelezea sababu ya mtu kuwa muhalifu ndiyo maana hatutokwi mapovu hata tukiambiwa ndugu zetu wameshiriki uhalifu.
 

Bahati mbaya masomo ya criminology hayana module inayofundisha kutofautisha "kutoa sababu za.." na "kutetea.........."

Nimesema msitetee, sio msitoe sababu
 
Bahati mbaya masomo ya criminology hayana module inayofundisha kutofautisha "kutoa sababu za.." na "kutetea.........."

Nimesema msitetee, sio msitoe sababu

mimi sitetei upuuzi na nina-rely kwenye reasonable source.
una hasira za nini? are you desperate??
 
mimi sitetei upuuzi na nina-rely kwenye reasonable source.
una hasira za nini? are you desperate??

now who is foaming at the mouth? who sounds desperate? ha ha ha.....desperate people think in desperate terms
 
Nyinyi kawauweni tu ndugu zao na madege ya kivita na manowari za kivita na silaha nzito nzito, mnao zaidi ya Million 10 hapo hapo Kenya, watawaliza sana hao Wasomali.

we foxy unatetea ugaidi!!! hustahili kuishi wewe
 
we foxy unatetea ugaidi!!! hustahili kuishi wewe

Gaidi kwako wewe kwa mwengine ni shujaa.

Gaidi kwangu mimi ni yule anaevamia nchi ya mwingine anaetumia madege, manowari na silaha nzito nzito kuuwa kila chenye uhai. Kwako wewe huyo ni shujaa? Fikiri.
 

yupi sasa kati yao? Tusijewafikiria wengine bure!
 
Hahahahaha, hujasma, unababaisha, jisomee: https://blog.udemy.com/criminology-theories/


sijui kama unataka niongee kiarabu ndo unielewe? Ok, I will explain it to you like I do to my 4 years daughter

Kutoa sababu za kitu ni kutaja vitu vinavyosababisha kitu kitokee/kifanywe n.k
kumtetea mtu ni kusema ni halali mtu huyo kufanya kama alivyofanya (justifying his actions)..need I say more?
 
Kenyan's way back in 2011 were told they are dumb to invade Somalia, indeed they are:

Kenya Invades Somalia. Does It Get Any Dumber? | TIME.com

Why are they crying now? because they are dumber now.

Simpo.

Tuanze kwa wewe kukubali kuwa hii extract inatoka katika link uliyoprovide hapo juu.

Told by whom? an even dumber mohammedan writer

Headlines are there to catch the eye not the brain (unfortunately that brain should not be brainwashed from the age of 5). A group of a few hundred soldiers crossing border in pursuit of some Islamist Scalawags can not be termed as Country x invading country y..and u know that!!!

On Sunday, a force estimated variously at a few hundred to 2,000 Kenyan soldiers crossed the border into Somalia in pursuit of militants from the Somali Islamist group, al-Shabab. The invasion came after a rash of armed incursions into Kenya from Somalia. On Sept. 11, Somali gunmen killed British tourist David Tebbutt, 58, and abducted his wife Judith, 56, from a resort on the northern Kenyan coast. In a second attack on a nearby beach hotel on Oct. 1, another group of Somali gunmen kidnapped a 66-year-old disabled French tourist, Marie Dedieu, who was confirmed dead on Wednesday. And then on Oct. 13, a third group of kidnappers took two Spanish aid workers from Dadaab, a camp in northern Kenyan - the biggest refugee settlement in the world, set up 20 years ago for those fleeing fighting and famine in Somalia.


If you would care to read the red-inked and see the meaning
 

I do not even know what "mohammedan" means. Who am I to name names?

That article was written by By Alex Perry @PerryAlexJ Oct. 19, 2011

 
I do not even know what "mohammedan" means. Who am I to name names?

That article was written by By Alex Perry @PerryAlexJ Oct. 19, 2011


since you used it as something to strengthen your points, may be you would care to think about the contents...I thought about those I have red-inked...have you had a look at them?

tourists killed
disabled french natinal killed
seized aid workers of a camp set purposely to serve Somali refugees
a few hundred soldiers crossing the border taken as Kenya invading Somali
the crossing of soldiers resulted from somalis entering Kenya and doing the bloody orgy etc etc etc

You dont have to read that article though..headlines are enough to some of us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…