Duuhh mwanawane huu sasa ni ugomvi
majigambo na utani ni tanzu/vipera katika fasihi ya kiswahili. hauwezi kuvitenga na waswahili hususani watanzania.Haya mambo ya kutambiana makabila ni ushamba.
Uzuri wenyewe wanajua ni utani na mwisho wa siku huwezi sikia madhara ya huo utaniHaya mambo ya kutambiana makabila ni ushamba.
Hawa ni makada watiifu wa chama chakavu.