Hakika huu ni Mwanzo wa mwisho wa mateso

Hakika huu ni Mwanzo wa mwisho wa mateso

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
1,413
Reaction score
5,150
Kwa sasa waTanganyika sio waoga wa kifo , sio waoga wa utekaji wenu wakijinga .Na kuanzia sasa hata polisi wakijaa kwenye mfumo wa uonevu tunaruka nao.
👇👇👇👇
Hapa Gen_z tunduma wakienda toe to toe na mercenaries wenye silaha za kisasa lakini madogo wanamawe, nabado mashoga walikimbia licha ya kua walikua wameshaua watu kibao...I am proud of us!!!!
 

Attachments

  • DQlOLQecQ0ei9whQ.mp4
    1 MB
MO29 marks the beginning of their end.
Hii siku haitosahaulika kwenye historia ya wanaharakati wa TZ
 
Back
Top Bottom