macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,241
- 56,891
Hakuna shida kabisa na kiingreza chao. Tena wameongea vizuri ukifananisha na polisi wa nchi ambazo hazitumii kiingereza kama Ujerumani au Sweden.Hawa ni Askari Polisi wa Tanzania wakimhoji binti wa Nigeria mwendesha pikipiki. Ametokea Uganda na ameeleza kuwa angeenda kupumzika/ kulala Kibondo.
Japo Kizungu cha "makamanda" wetu hakijanyooka kivile, lakini mawasiliano yamefanikiwa. Kila mmoja ameweza kumwelewa mwenzake, na hilo ndilo lengo la lugha, mawasiliano.