Haki za upunguzaji ajira kazini

Haki za upunguzaji ajira kazini

michaelnoah

Member
Joined
Jul 27, 2015
Posts
16
Reaction score
5
Wadau natumaini wote mpo salama.

Samahani je ni sawa kwa mwajiri kusitisha mkataba wa miezi 8 mbele kwa sababu za kiuendeshaji na kudai ni lazima mwajiriwa aweke sahii katika hati ya makubaliano kuwa anakulipa mwezi mmoja mbele lkn hayo ni maamuzi ya mwajiri je mimi Kama mwajiriwa haki zangu ni zipi maana nimesimamishwa kazi tangu tarehe 24 na sijawekewa malipo yoyote kabisa
 
Kwa 100% una haki ya kumshtaki muajiri wako, pitia ELRT of 2004 soma part 2 kipengele cha termination kisha naweza jua cha kufanya
 
Muwe mna katiba zinazowahusu watumishi tunawazidi hata sisi ambao tupo nje ya mfumo
 
Back
Top Bottom