Haki za mshtumiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki za mshtumiwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by javascript, Apr 21, 2012.

 1. javascript

  javascript Senior Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Habari wanajamvi!
  Naomba nianze kwa kusema kwamba mimi sifahamu sheria vizuri (si fani yangu).
  Ningependa kujua haki zangu pale ninaposhtumiwa kuiba na hakuna shahidi yeyote aliyeona nikiiba ila mazingira yanaonesha uwezekano wangu kuhusika na wizi.
  Ningependa kujua ninapopelekwa kituo cha polisi, Je?
  1. Natakiwa nilale selo?
  2. Nikipelekwa kituoni nini kitafanyika?
  3. Je polisi wana haki ya kunipa kichapo?

  ni hayo tu
   
Loading...