truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
Habari zenu wadau. Mimi naombeni kujuzwa tu kiudadisi, je sisi wapangaji wa eidha chumba au nyumba tuna haki yoyote ya kisheria baada ya kukubaliana ya kwenye mkataba? Asanteni.
Ni kujenga yako tu mkuu.
Hakuna haki kwenye mali za watu.