Haki za mke mkubwa na mdogo katika uislamu

Haki za mke mkubwa na mdogo katika uislamu

Kama Sijakosea( Nitasahihishwa kwa Hili) Kama Uko Na Iyo Hamu Anapaswa Kuja Kukutimizia Then Arudi Kulala Kule Kwa Mwenye Zamu Yake, Aipaswi Kutoka Nje Ya Ndoa Yako Ni Aipendezi
huyo ana roho ya kizinifu tu achana nae,wale wadada wanaojiita wa mjini
 
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa wake 11. wakeze walikuwa ni kama wafuatao
  1. Khadiyjah bint Khuwaylid (Radhiya Allaahu ‘anha).
  2. Sawdah bint Zam‘ah (Radhiya Allaahu ‘anha).
  3. ‘Aa’ishah bint Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anha).
  4. Hafswah bint ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘anha).
  5. Zaynab bint Khuzaymah (Radhiya Allaahu ‘anha).
  6. Ummu Salamah Hind bint Abi Umayyah (Radhiya Allaahu ‘anha).
  7. Zaynab bint Jahsh (Radhiya Allaahu ‘anha).
  8. Juwayriyah bint al-Haarith (Radhiya Allaahu ‘anha).
  9. Ummu Habiybah Ramlah bint Abi Sufyaan (Radhiya Allaahu ‘anha).
  10. Swafiyah bint Huyayy bin Akhtwab (Radhiya Allaahu ‘anha).
  11. Maymuunah bint al-Haarith (Radhiya Allaahu ‘anha).

    Wakeze tisa walimkalia eda kwani alikufa kabla yao ilhali wawili (Khadiyjah na Zaynab bint Khuzaymah (Radhiya Allaahu ‘anhuma) walikufa kabla yake.
Hata Mtume alishindwa kuwa muadilifu kwa wake zake. Records zinaonyesha alimpenda Aisha kuliko hao wake wengine. Sasa si ukosefu wa uadilifu huo? Kama alishindwa Mtume wa Allah kweli mmatumbi kama miye nitaweza?
 
Hapa naongea kama zero wisdom, nilifikiri nikaona Waislam kuoa zaidi ya mke mmoja ni vizuri na Mwenyezi anaruhusu. Kwa nini?? Mf mwanamke akipata ujauzito, baadhi kwa idhini ya doctor anaambiwa Hakuna sex mpaka atakapojifungua, Mimi mwanaume nitakua mgeni wa nani? Niibie nje (nyumba ndogo)? Basi hata kwa wakristu iruhusiwe mke zaidi ya mmoja halali. Nafuu iwe rasmi kuliko nyumba ndogo .Kuvumilia kwa mwezi mzima sio rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app

Doctor gani huyo anayekataza msijamiiane wakati wa ujauzito unless kama kuna shida tena kubwa. Otherwise watu tunajamiaana mpk kuingia labor.
 
Mke wa pili ili mwanaume aweze kutenda haki inabidi wakeze wapendane, na hawawezi kupendana kama Hawajashika dini.

Maana mwanamke wa kiisilamu aliyeshika dini hawezi kushangaa,kushtuka wala kuogopa akijulishwa juu ya mumewe kutaka kuoa. Akijulishwa taarifa hiyo inampasa afurahiye.

Kipi kitakachomfanya afurahiye?
 
Kwa ninavyojua waswahili wa Bongo, hamna mambo ya haki sawa maana matatizo yao tunayajua, labda hayo mambo yanatimizwa kwa usawa huko Saudia Arabia, Hata Nchi kama Tunisia Morocco Egypt na Algeria ndoa za wake wengi ni nadra sana
 
Nimeweka kwa waislam title inajieleza. Wewe Kama nidini nyingine sio kusoma na kupingapinga hujaitwa
Ina maana hapa duniani mtume alioa wake 11 alafu waislam wengine mkaambiwa mwisho wa 4 tu. Navipi kuhusu peponi nasikia dini yenu ya Allah inasema Allah atampa kila mwanaume wanawake mabikra 70 sasa Inamaana mtume ameshapewa mabikra 140 sindivyo au? Imani zingine bana nifuru kuhimiza uzinzi.


Duniani kuoa wake 4 na ukifa ukingia peponi Allah anakupa mabikra 70, hahahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana hapa duniani mtume alioa wake 11 alafu waislam wengine mkaambiwa mwisho wa 4 tu. Navipi kuhusu peponi nasikia dini yenu ya Allah inasema Allah atampa kila mwanaume wanawake mabikra 70 sasa Inamaana mtume ameshapewa mabikra 140 sindivyo au? Imani zingine bana nifuru kuhimiza uzinzi.


Duniani kuoa wake 4 na ukifa ukingia peponi Allah anakupa mabikra 70, hahahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeitwa?
 
Back
Top Bottom