inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,786
- 22,615
hizo story za mtume kuoa binti wa miaka 9 ni uzushi tu wa kumkashifu mtumeMke wa 3 Bi Aisha
hizo story za mtume kuoa binti wa miaka 9 ni uzushi tu wa kumkashifu mtumeMke wa 3 Bi Aisha
Duuh...Muhammad alimwoa mwanamke wa Kikristo?Walifika 11 mmoja Myahudi na mwingine Mkiristo kati ya hao 11
[emoji15]Walifika 11 mmoja Myahudi na mwingine Mkiristo kati ya hao 11
Hizi topic za style hii zinakuwa za wake wadogo mkuuPoa mke mkubwa
muislam anaruhusiwa kuoa mkiristo au myahudi,na anakuwa na haki zote za mkeDuuh...Muhammad alimwoa mwanamke wa Kikristo?
Alikuwa anamtreat sawa na wengine?
Kama sio Muislamu hili somo halikuhusuNakuvumilia sitoi kama umesafiri, unaumwa n. K ila eti wewe unakula kwa mke mwingine nami nna hamu nijibane! Wapi napigwa mashine kiroho safi and am Sure God will understand.
Sent using Jamii Forums mobile app
umri wa wakeze mtume hauna umuhimu wowote kwenye dini,mtafute mtoto wa miaka 9 umuweke pmoja na mzee wa miaka 50s uoneTuelimishe vya ukweli
pigwa tu mashine kiroho safi,hain shida,si unapigwa wewe bna,hayo ya kuogopa uzinifu ni ya wenye hofu ya munguNakuvumilia sitoi kama umesafiri, unaumwa n. K ila eti wewe unakula kwa mke mwingine nami nna hamu nijibane! Wapi napigwa mashine kiroho safi and am Sure God will understand.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha yaani unaweza ku-manage "STRESS" nne? Hii moja tu inatoshaHamna kazi ngumu kama kuwatreat wanawake zaidi ya wawili sawa..
Kuna mmoja lazima mizani izidi..!!
Mngempelekea hii hoja ndg Pengo ili aitolee maamuzi labda.Hapa naongea kama zero wisdom, nilifikiri nikaona Waislam kuoa zaidi ya mke mmoja ni vizuri na Mwenyezi anaruhusu. Kwa nini?? Mf mwanamke akipata ujauzito, baadhi kwa idhini ya doctor anaambiwa Hakuna sex mpaka atakapojifungua, Mimi mwanaume nitakua mgeni wa nani? Niibie nje (nyumba ndogo)? Basi hata kwa wakristu iruhusiwe mke zaidi ya mmoja halali. Nafuu iwe rasmi kuliko nyumba ndogo .Kuvumilia kwa mwezi mzima sio rahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiristo anayeruhusiwa kuolewa na mwislam ni yule asiyekubaliana na kauli za(1.Yesu ni Mungu,2.Yesu ni mwana wa Mungu)muislam anaruhusiwa kuoa mkiristo au myahudi,na anakuwa na haki zote za mke
Kama Sijakosea( Nitasahihishwa kwa Hili) Kama Uko Na Iyo Hamu Anapaswa Kuja Kukutimizia Then Arudi Kulala Kule Kwa Mwenye Zamu Yake, Aipaswi Kutoka Nje Ya Ndoa Yako Ni AipendeziNakuvumilia sitoi kama umesafiri, unaumwa n. K ila eti wewe unakula kwa mke mwingine nami nna hamu nijibane! Wapi napigwa mashine kiroho safi and am Sure God will understand.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....kuweka mizania sawa.....mnafanya shopping pamoja....mnakula meza moja...mnalala kitanda kimoja[emoji13] [emoji13]kipya kinyemi
ha haha unajua mbunye mpya ukipata inakuwaje ? we mwenyewe unajua anaweza kulala kitanda kimoja lakini mdogo akapendelewaDah....kuweka mizania sawa.....mnafanya shopping pamoja....mnakula meza moja...mnalala kitanda kimoja[emoji13] [emoji13]
Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
watu wa kitabu ni wakristo na wayahudi,mwenyez mungu anatambua kwamba wao wansema yesu ni mungu na ni mwana wa mungu,pia wayahud wanasema uzeri ni mwana wa mungu,ila karuhusu hivyohivyo kuwaoaMkiristo anayeruhusiwa kuolewa na mwislam ni yule asiyekubaliana na kauli za(1.Yesu ni Mungu,2.Yesi si mwana wa Mungu)
Au mwanamke wa kitabu.