kwani wewe hilo gari lako linathamani gani kutotaka mtu mwingine alipande. Kama amekukamata maana yake wewe ni mtuhumiwa. Sasa mtuhumiwa uachwe utembee peke yako. Kwa kifupi wewe ndo unatakiwa kutafuta usafiri mwingine na hilo gari umwachie traffic alipeleke kituoni kama hutataka kupandanae kwenye gari moja.