Haki za dereva anapokamatwa na askari wa usalama barabarani (Traffic)

Rosena

Member
Sep 11, 2012
51
4
Naomba kujua haki za dereva anapokamatwa na askari wa usalama barabarani, pia nataka kujua kama suala la bima ya gari linamhusu sana traffic kiasi cha kukulima faini.:bange:
 
kwa ujue umekamatwa kwa kosa gani. Gari lolote linatakiwa kuwa na bima. Traffic huyo ni law enforcer, kwa hiyo anahaki ya kukuuliza, kwa nini bima haipo n.k
 
Ktk hili ningependa kujua pale trafiki anapokukamata anahaki ya kipanda gari yako kuelekea kituoni au anatakiwa atafute isafiri wake?
 
Ktk hili ningependa kujua pale trafiki anapokukamata anahaki ya kipanda gari yako kuelekea kituoni au anatakiwa atafute isafiri wake?

Kwani wewe hilo gari lako linathamani gani kutotaka mtu mwingine alipande. Kama amekukamata maana yake wewe ni mtuhumiwa. Sasa mtuhumiwa uachwe utembee peke yako. Kwa kifupi wewe ndo unatakiwa kutafuta usafiri mwingine na hilo gari umwachie traffic alipeleke kituoni kama hutataka kupandanae kwenye gari moja.
 
kwani wewe hilo gari lako linathamani gani kutotaka mtu mwingine alipande. Kama amekukamata maana yake wewe ni mtuhumiwa. Sasa mtuhumiwa uachwe utembee peke yako. Kwa kifupi wewe ndo unatakiwa kutafuta usafiri mwingine na hilo gari umwachie traffic alipeleke kituoni kama hutataka kupandanae kwenye gari moja.
mi nafikiri ni busara trafiki wote kutochangia uzi,waachie wadau wengine,maana ninyi hamtatoa elimu bali kukandamiza haki za raia,mtoa mada anapenda kujua naomba wanasheria wanaojua kutafsiri sheria wasaidie hapa.
 
mKUU NIJUAVYO MIMI BIMA NI MUHIMU MNO KULIKO HATA ROAD LIECENCE.O HATA KAMA POLISI HAWAJAKUKAMATA NI VEMA KAMA GARI HAINA BIMA AU IMEKWISHA NASHAURI USIENDESHE,KWANI UKIPATA AJALI WEWE AU UTAKAYEMSABABISHIA AJALI KAMA MADHARA NI MAKUBWA UNAWEZA KUSHINDWA KUHIMILI KULIPA.
 
Ktk hili ningependa kujua pale trafiki anapokukamata anahaki ya kipanda gari yako kuelekea kituoni au anatakiwa atafute isafiri wake?

Kinachotakiwa ni wewe kuandikiwa makosa yako, kama Huna leseni au gari haina insurance basi inabidi traffic aite recovery ya kuja kuiburuta gari mpk yard yao au aiendeshe yeye traffic mpk yard(kumbuka we hutakiwi kuendesha gari bila leseni wala bila insurance)....ukishalipa fine na charges zote za gari kulala yard ndio unaruhusiwa kuichukua gari yako.
Lakini bongo mtu anakamatwa hana leseni wala insurance anapigwa faini kisha anaachiwa aende zake na gari yake. ...hiyo sio sheria
 
Naomba kujua haki za dereva anapokamatwa na askari wa usalama barabarani, pia nataka kujua kama suala la bima ya gari linamhusu sana traffic kiasi cha kukulima faini.:bange:

Without traffic laws and rules there would be chaos on our roads. Read and learn the rules in the new Highway Code - if everyone follows them we will all get to our destinations more easily and safely.
The Police have the difficult but very necessary task of enforcing the laws. You must cooperate with them, unless they are acting outside the law. This notice is a brief guide to what a police officer in uniform can legally do and ask for when he stops you in your vehicle. You may wish to cut this notice out and keep it in your vehicle - but remember that it is only a guide.
Power to stop your vehicle: a police officer has the right to stop your vehicle - if they signal you to stop, slow down safely and pull off the road - he or she can also ask your name and address and that of the owner of the vehicle (Road Traffic Act (RTA), s.78).
Driving licence: a police officer can ask to see your driving licence - he/she can refuse to accept a photocopy however, you can opt to produce your driving licence within three days at a police station nominated by the officer. To avoid problems, always carry your driving licence with you in the vehicle (RTA, s.77).
Registration document: a police officer has the right to check the registration details as shown on the registration sticker - the vehicle must conform to the description on the sticker, but minor things such as faded or flaking paint do not matter (RTA s.13).

Road licence, and motor vehicle insurance: a police officer has the right to check that you are displaying a valid road licence and insurance sticker on the windscreen of your vehicle.
Confiscation: a police officer does NOT have the right to remove and keep stickers and licences. Seatbelts: you and your front-seat passenger must securely fasten your seatbelts when driving you are committing an offence if you drive while your front-seat passenger is not wearing the seatbelt (RTA s.39.11). Passengers in the rear seats should also wear their seat belts. Driving after drinking alcohol: if a police officer suspects you have been drinking and are incapable of controlling the vehicle properly he can require you to take a test (a breath test or blood test) to see if the amount of alcohol in your blood is over the prescribed limit. If you refuse you will be guilty of an offence (RTA, s.44,s.45,s.46).
Using a mobile phone when driving: although the law does not specifically prohibit this, a police officer may consider that you are committing theoffence of "driving carelessly" (RTA,s.42,s.50).

Speeding: you must observe all speed limits, (including the 50km/h limit in built-up areas, which may not be signed) - a police officer may measure your speed in various ways, and is not required to show you proof of your speed - however, you may challenge his evidence in court (RTA, s.51, s.73(2)).
Roadworthiness: a police officer has the right to check whether your vehicle is in a safe mechanical condition.Tyres, brakes, lights, indicators and steering must be in good working condition - you may be required to take the vehicle where it can be thoroughly inspected by a Police vehicle examiner (RTA, s.39.1, s.81). You are advised to have your vehicle inspected by the Police every year. Get a road safety sticker, certificate of fitness, or letter from the Police as evidence that your vehicle has been inspected. IF A POLICE OFFICER ALLEGES THAT YOU HAVE COMMITTED AN OFFENCE: in most cases you will be offered a choice of admitting the offence and paying a fine of Tshs 20,000 to the police officer, or appearing in a local court to answer the charge. The officer will record the details on Police Form PF101, and both of you will sign it - never pay the fine without getting a signed copy of the Form. You may have to go with the officer to a police station to do the paperwork. If you admit the offence, but are unable to pay the fine, the police officer will tell you how to send payment to his local commander (RTA s.95). IF YOU THINK A POLICE OFFICER HAS ACTED ILLEGALLY OR HAS MISBEHAVED IN ANY WAY YOU SHOULD MAKE A COMPLAINT: ask the officer for his name, rank, and number, and the address of the police station where he is based (you have a right to ask this). Then send a written complaint to the officer in charge - who will investigate and reply to you. Help keep our police officers honest - don't pay bribes





Said A. Mwema
Inspector General of Police
21/8/09
Tanzania Police Force and Ministry of Infrastructure Development - working together for safer roads
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom