Ktk hili ningependa kujua pale trafiki anapokukamata anahaki ya kipanda gari yako kuelekea kituoni au anatakiwa atafute isafiri wake?
mi nafikiri ni busara trafiki wote kutochangia uzi,waachie wadau wengine,maana ninyi hamtatoa elimu bali kukandamiza haki za raia,mtoa mada anapenda kujua naomba wanasheria wanaojua kutafsiri sheria wasaidie hapa.kwani wewe hilo gari lako linathamani gani kutotaka mtu mwingine alipande. Kama amekukamata maana yake wewe ni mtuhumiwa. Sasa mtuhumiwa uachwe utembee peke yako. Kwa kifupi wewe ndo unatakiwa kutafuta usafiri mwingine na hilo gari umwachie traffic alipeleke kituoni kama hutataka kupandanae kwenye gari moja.
Ktk hili ningependa kujua pale trafiki anapokukamata anahaki ya kipanda gari yako kuelekea kituoni au anatakiwa atafute isafiri wake?
Naomba kujua haki za dereva anapokamatwa na askari wa usalama barabarani, pia nataka kujua kama suala la bima ya gari linamhusu sana traffic kiasi cha kukulima faini.:bange: