Haki Za Binadamu Wamgeukia RC Makonda

Haki Za Binadamu Wamgeukia RC Makonda

Mbona weng wameshtushwa kwa huyu tu wakat weng wamedhalilishwa na huyu Makond..mu kwenye hii program?
Angalau wanasiasa wakiumbuana sio mbaya wanaweza kukaa kwenye kadamnasi ila watendaji ni kuwaonea na pia si busara kumbebesha mtu mmoja uozo wa kitengo cha ardhi
 
hao wanapoteza tu muda wao,
Eti haki za binadam wakati kila siku na wenyewe wanapigwa tu mabomu na polisi ,
Issue ya wazee wa east africa kuandamana walipigwa mabomu,
Issue ya dr ulimboka walipigwa virungu na mabomu,
Uchaguzi mkuu compiuter zao na vifaa mbali mbali vilivunjwa vunjwa na jeshi la polisi,
Awana lolote hao
Awana athari yeyote kwa serikali hii ya hapa kazi tu
Kick zingine ni za kuonekana tu kwenye tv alafu wazungu wanatuma mzigo,wanajenga nyumba zao mbezi beach na kunduchi beach alafu chadema wanawapigia debe wapiga deal wenzao...hivi chadema amnaga vitu vya kupost kwenye mitandao vya kujenga nchi zaidi ya ushabiki shabiki tu wa kimbulura...
 
Sorry niwe mkweli haki za binadamu kwa Tanzania sijawahi uona umuhimu wao kabisa na wala shughuli zao hazijulikani sana na jamii, sijui labda ni mtazamo wangu tu.
Huwezi kuona kazi zao kwa sababu serikali imewanyima makucha, kuwafumba midomo na kutumia ubabe dhidi yao. Haiwapi nafasi kujipambanua na kuonesha kazi zao kwa sababu wakiwapa nafasi, hakuna atakayeonekana mwema kuanzia mkuu wa kaya. So ni lazima waminywe tu, hakuna namna.
 
mbona watumishi tusipotekeleza majukumu yetu haki za bidamu hawasimami?? au wananchi wanaotumikia hawana haki za kibinadamu kama Wao???
Haki za binadamu watasema kama wewe Mwananchi ungetukanwa na kudhalilishwa, kutolewa utu wako mbele ya kadamnasi kwa kisingizio chochote, iwe rushwa nk. Ndiyo maana kuna mahakama.
Hivyo wewe kama Mwananchi ungeitwa na kutukanwa, nado haki za Binadamu wange kutetea tu.
 
Sorry niwe mkweli haki za binadamu kwa Tanzania sijawahi uona umuhimu wao kabisa na wala shughuli zao hazijulikani sana na jamii, sijui labda ni mtazamo wangu tu.
Ni sawa kutokujua,hawa ni waangaliaji wa mwenendo wa sheria na haki za binadamu na huandika report na kuwapa nakala serikali.Hii husaidia kuona mwenendo wa nchi kwa mujibu wa sheria zilizopo.Ni vigumu sana kwa mwananchi wa kawaida kama wewe kujua mpaka uwe mfatiliaji.Hii ni taasisi huru isiyo ya kiserikali,tunaweza kufananisha na waangalizi wa uchaguzi.Raia wanaweza wasijue umuhimu wao na kazi zao kwasababu hawana direct involvement na jamii.Wao ni observers tu!
 
Watanzania ni watu wanafiki sana mbona Makonda wakati ana mfokea yule mama watu mlikua mnashangilia iweje mje hapa kulalamika.
 
Pale aliposema akisimama yeye na mungu yupp pamoja nae alimanishaa mjomba mwenye kaya hahajajajajhahahaha by the yeye nae pia hajakamilika hapo kakosea inabidi akubuli
 
Sorry niwe mkweli haki za binadamu kwa Tanzania sijawahi uona umuhimu wao kabisa na wala shughuli zao hazijulikani sana na jamii, sijui labda ni mtazamo wangu tu.
Baka mwanafunzi ndo utaona Hawa jamaa wakoje
 
Alianza kumshambulia Jaji Warioba akapewa zawadi ya u DC, kapewa ukuu wa mkoa sasa anajiona mungu mtu
 
Kwa upande wangu sijaona kosa la mheshimiwa makonda acha awanyooshe walizoea sana hata ilikuwa ukifika ktka ofisi zao wanakuangalia kama kinyago kwa sasa hayo mambo acha yakomeshwe. Makonda oyeeeeeee
 
Kwa upande wangu sijaona kosa la mheshimiwa makonda acha awanyooshe walizoea sana hata ilikuwa ukifika ktka ofisi zao wanakuangalia kama kinyago kwa sasa hayo mambo acha yakomeshwe. Makonda oyeeeeeee
Unamsifia kwa kumuita mtumishi kichaa...! Au kwa kujiita yeye mungu..!?
 
Watanzania ni watu wanafiki sana mbona Makonda wakati ana mfokea yule mama watu mlikua mnashangilia iweje mje hapa kulalamika.
Walioko hapa wanajitambua hawahudhurii hiyo mikutano ndugu!! Ila a funny thing wanasiasa wengi huwa hawapendi live coverage ila huyu rc ni nini kimemloga? Au ndio sifa kupitiliza?
 
Dkt. Helen Kijo-Bisimba, mama yangu utapata presha bure na hawa watu. Siku zote kiongozi akishalewa madaraka hekima na busara hukimbia na hivyo hujikuta akiongozwa na mihemko.Huitaji kudhalilisha watu ili uonekane mtendaji. lugha ya staha inatosha kabisa kufanya watu wakuheshimu hata bila kuwalazimisha.Lakini jambo la kushangaza wakati ndugu huyo anawadhalilisha hao wafanyakazi kuna raia waanashangilia.Kila ninapoisikia kauli alizotoa huyo mtu nasikia kuudhika kiasi ambacho najiuliza,je kuwa kiongozi ni lazima utumie mabavu?MY LORD FORGIVE US!
Kweli jamaa hakutoa lugha nzuri kilichoniudhi zaidi ni kitendo cha wananchi kushangilia kitendo kile hivi wale watu nao wazima kweli vichwani mwao?
 
Back
Top Bottom