Haki ya nani leo nimenusurika kidogo tu

Haki ya nani leo nimenusurika kidogo tu

Hivi huyu jamaa hua ni Pepo??
Mbona story zake zote zimejaa nuksi, uzinzi, uongo, ulaghai, ubabaishaji, porojo na uasherati...

Unataka kuniambia kuwa wewe haujwahi kukumbana na vikwazo vya hapa na pale vya mambo ya migegedo
 
Hahaha, mpaka uliefanyanae akushtaki ndio kuna kesi
 
Sawa...Kwani sheria gani imekuzuia kuchukua picha???
 
sikuelewagi, hivi ni utoto au nini?! ............
 
Back
Top Bottom