Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,457
- 27,104
Hata Mimi iliwaza hiliAliyezungusha kweli na akawa na uchungu wa kuzungusha angekuwa kajifungia analia. Hongera kwa kufaulu
Muda wote uko jukwaa la Liverpool special na kurandaranda kwenye thread ya Manchester united ulitegemea ufaulu Form VI tena PCM???
Pole sana dogo nitafute kuna kitu chamsingi nikwambie
dah,pole mku kubaliana na hali tu maana still bado una nafasi ya kusonga mbele ,una uwezo wa kwenda ku apply diploma kwa kutumia chet cha 4m4 na chuo utafika,maana wapo watu weng wamepotia njia hii wapo makazin
Ilitakiwa ulipomaliza form four na grade nzuri usingepoteza mda kusoma A-level. Ungechukua zako diploma ya kozi yeyote unyoipenda, sasaiv ungekuwa unamalizia na kupata fursa ya kusoma degree. Ona Sasa umepiga bashite la PCM
Muda wote uko jukwaa la Liverpool special na kurandaranda kwenye thread ya Manchester united ulitegemea ufaulu Form VI tena PCM???
Pole sana dogo nitafute kuna kitu chamsingi nikwambie
Majuto ni mjukuu dogo pole sanaNyumbu wacha Roho mbaya
Akipambana anaweza kuwa mkuu wa mkoa kama bashiteIlitakiwa ulipomaliza form four na grade nzuri usingepoteza mda kusoma A-level. Ungechukua zako diploma ya kozi yeyote unyoipenda, sasaiv ungekuwa unamalizia na kupata fursa ya kusoma degree. Ona Sasa umepiga bashite la PCM
Mpambanaji hua hachoki kupambana .Amka pambana tena .Kwa Matokeo haya nahisi kama Mungu ananiambia Wewe Kenge pambana na Mambo mengine kusoma sio Fani yako waachie wasomaji π
Kama kweli vile.
....Acha fix dogo, mwanafunzi aliyemaliza four 2018 anahitimu six mwakani....