Haki ya nani kwa walichonifanyia NECTA kwenye matokeo yangu ya Form VI siwezi kuwasahau

Si nilijiona Kipanga nikahisi A-Level nitateremka Kitonga tu! Kumbe O-Level nilibahatisha 😭
hongera kwa kuhitimu kidato cha 6, pamoja na kuwa umetaga! kasome diploma au rudia mtihani hakuna muda wa kujuta
 
Usinicheke bhana we acha tu

Kuna Madogo flani wa O-Level nilikuwa nawapiga Tuition PHY na MATH wananiona Kipanga ile mbaya jinsi ninavyoyachana Macalculations, Yani sijui watanihisije nahisi kama wataniona nilikuwa nawalisha Matango Pori! Nimeshawatoka Nduki kuanzia leo siendi tena 😭😭
 
hongera kwa kuhitimu kidato cha 6, pamoja na kuwa umetaga! kasome diploma au rudia mtihani hakuna muda wa kujuta

Haya matokeo yameshaniambia kama wewe Kenge huna uwezo waache wenye uwezo wasome 😭
 
Kuna Madogo flani wa O-Level nilikuwa nawapiga Tuition PHY na MATH wananiona Kipanga ile mbaya jinsi ninavyoyachana Macalculations, Yani sijui watanihisije nahisi kama wataniona nilikuwa nawalisha Matango Pori! Nimeshawatoka Nduki kuanzia leo siendi tena
Ijapokua nimefeli but unanipa ujasiri kidgo nikipita uzi huu kujua Kama vipanga wengi tumekatwa na wajumbe
 
Muda wote uko jukwaa la Liverpool special na kurandaranda kwenye thread ya Manchester united ulitegemea ufaulu Form VI tena PCM???

Pole sana dogo nitafute kuna kitu chamsingi nikwambie
Kwanza ni member since 2016 yaani kwamba toka yuko form three alikuwa member wa jf!

Kwa mwandiko wake tu huyu si form six FELIYAAA.

Acha fix kijana.
 
Acha sifa! Walio na ONE kama wewe wameajiriwa na Diamond Platnumz aliyeishia la Saba B.

Walio na ONE wakasoma PhD zao marekani wameajiriwa na Bakhressa ambaye hata historia ya kusoma kwake haijuilikani
Kwahyo wew ni bakhresa au diamond...soma bwa mdogo acha janja janja
 
Nashindwa hata kusalimia Wajumbe!

Mwaka 2018 nikiwa nimetulia Naandalia Kideo ghafla napigiwa Simu na Classmate wangu ananiambia Mgodi umeshatema ingia Mtandaoni uangalie matoleo, Jinsi nilivyokuwa najiamini nilimjibu kuwa Mimi siingii Mtandaoni kuangalia Matokeo bali ninaingia kuconfirm Matokeo kwani Matokeo yangu ninayajua.

Baada ya kuingia Mtandaoni nilijikuta naangusha kicheko tu baada ya kujiona nimeigegeda One ya XIV O-Level nilijiona kweli mimi najua.
Nimeingia A-Level kwa mbwembwe kama zote nikijiona wazi kuwa ninakwenda kupiga Kijiti chengine.

Nilisoma sana usiku na mchana lakini cha ajabu leo naingia kwenye Mfumo kuangalia Matokeo yangu ya Kidato cha Sita nilichoona sikuweza kuamini! Yani nimezungusha kama sijawahi kusoma.
Mimi si wakupata Sifuri.

Kila nikikumbuka kujaza Fomu ya Mkopo kwa mbwembwe na kuipeleka Posta nikiwa najiamini kwa PCM yangu niliamini kwa 100% kuwa Mkopo nitapewa! Lakini mambo hayapohivyo, Nimekula Zero na hela ya kuhangaikia Mkopo imeliwa.

Kwa nilivyosoma NECTA walipaswa kunipa angalai D D D na sio FFF zote.
Ushinde jf kutwa halaf utake kufaulu...wenzenu kipind tunasoma tulikua tunasoma kwel.hata simu hatuzijui.hata wanawake hatuwajui...tulikua tunapiga masta tuu..nyie vijana wa sasa hiv mnataka kufaulu ilhal umnataka kwenda sambamba na dunia haitowezekana
 
Kaka zama zimebadilika sasa Tecknolijia kila sehemu! Sikufeli kwasababu ya JF, sikuwa na Bahati tu kwa upande Wangu. 😭😭
 
Kwanza ni member since 2016 yaani kwamba toka yuko form three alikuwa member wa jf!

Kwa mwandiko wake tu huyu si form six FELIYAAA.

Acha fix kijana.

Sio fix Kaka! Ni True Story imenikumba jana! Halafu Father anazidi kunizingua eti ananiambia nimpe ushahidi kuwa nimemaliza FVI kwasababu kama nimepata Zero ni sawa na kuwa nimemaliza FIV 😭😭
 
Nashindwa hata kusalimia Wajumbe!

Mwaka 2018 nikiwa nimetulia Naandalia Kideo ghafla napigiwa Simu na Classmate wangu ananiambia Mgodi umeshatema ingia Mtandaoni uangalie matoleo, Jinsi nilivyokuwa najiamini nilimjibu kuwa Mimi siingii Mtandaoni kuangalia Matokeo bali ninaingia kuconfirm Matokeo kwani Matokeo yangu ninayajua.

Baada ya kuingia Mtandaoni nilijikuta naangusha kicheko tu baada ya kujiona nimeigegeda One ya XIV O-Level nilijiona kweli mimi najua.
Nimeingia A-Level kwa mbwembwe kama zote nikijiona wazi kuwa ninakwenda kupiga Kijiti chengine.

Nilisoma sana usiku na mchana lakini cha ajabu leo naingia kwenye Mfumo kuangalia Matokeo yangu ya Kidato cha Sita nilichoona sikuweza kuamini! Yani nimezungusha kama sijawahi kusoma.
Mimi si wakupata Sifuri.

Kila nikikumbuka kujaza Fomu ya Mkopo kwa mbwembwe na kuipeleka Posta nikiwa najiamini kwa PCM yangu niliamini kwa 100% kuwa Mkopo nitapewa! Lakini mambo hayapohivyo, Nimekula Zero na hela ya kuhangaikia Mkopo imeliwa.

Kwa nilivyosoma NECTA walipaswa kunipa angalai D D D na sio FFF zote.
Sema tunaita Round about
 
Ngoja nami nichangie kidogo
Kuna washamba hapo juu naona wanamkandia mtoa mada eti alikuwa anakesha jf thus why hakufaulu.
Acheni utoto me nilisoma na watu wanavuta sigara bwege, Wana mademu Kama utitiri lakini bado na wakatusua dv 1.
Sometimes kufaulu pia kunahitaji bahati.
Back on days kunamchizi alifaulu japokuwa hapikuwa hajui kusoma kabisa.
#***** baba ake akagoma kumlipia Ada
 
Back
Top Bottom