Haki ya Mungu, sitasahau utotoni

Haki ya Mungu, sitasahau utotoni

Eti lapa ama kiatu likibinuka soli ikaangalia juu basi unamtukana Mungu na ukinyooshea kidole makaburini basi utakufa...
 
  • Thanks
Reactions: amu
Enzi zile tukiwa tuna angalia tamthilia malavidavi yakianza mama anasema fumbeni macho nw days watoto wana toa jicho mwanzo mwisho!
kila mtu ana enzi zake, we unazungumzia enzi za tamthilia juzi tu hapa
 
Halafu eti mjambaji mwenyewe ndie anainuka na anakupa bakora za kutosha wakati amejamba yeye!

Ajambe mbele ya mtoto.com alafu ampige hiyo hata kama kamzaa yeye litakalomsibu siri yake yaani cha kwanza ni swali "sasa si umepumua mwenyewe asa unanipigia nini? Acha hizo we maza/faza (mother/father)"
 
Ajambe mbele ya mtoto.com alafu ampige hiyo hata kama kamzaa yeye litakalomsibu siri yake yaani cha kwanza ni swali "sasa si umepumua mwenyewe asa unanipigia nini? Acha hizo we maza/faza (mother/father)"

Vipi kama ni mgeni yuko kwenu jioni mnakula ukamponyoka,utamuumbua mgeni?Tena anakuongezea bakora hadi useme mimi,mimi,ni mimi nimejamba mzee!
 
Mimi niliwahi msemelea kakaangu nliwaona wanafanya "matusi" na mtoto wa jirani. Hapo wote hatujaanza hata shule
 
Nikiwa na mtu mkubwa afu akajamba eti nijisingizie ni mimi hiyo ndo adabu

Hahaha mimi bibi alikuwa akiniogesha anashika kadudu kangu anasema eti ni sigara yake af me nlikuwa nacheka sana. Baadae nlipokua nikagundua kumbe yale mambo ya kula koni yapo kitambo.
 
niliwekewa chura kwenye papuchi niache kukojoa litandani
 
tukiwa kwenye mstari wa parade asubuhi kuna jamaa anakuja na kioo then anakiweka chini ya sketi ya dem yoyote basi hapo tunabaki kukodoa hadi basi
 
Back
Top Bottom