MSHALE KIUNONI
Member
- Aug 6, 2014
- 89
- 14
Mama aliniambia mwanangu jihadhari sana usimuone mtu mzima(alokuzidi umri sana) akiwa anakojoa, kwani utakuwa kipofu. Tukumbushane ya utotoni basi wadau, ww ulionywa nn?

Mm niliwahi kuambiwa kuwa ukifanya mapenz na mwanamke aliyekuzidi umri kamashine kanaungua, halafu ukila ukiwa umelala et mama anakufa,
Nikiwa na mtu mkubwa afu akajamba eti nijisingizie ni mimi hiyo ndo adabu
nkimuudhi mama alikua ananambia **ntakutengeneza ka mboga** apo nnakua mpole ncje kuwa kitoweo bure
Nikiwa na mtu mkubwa afu akajamba eti nijisingizie ni mimi hiyo ndo adabu
Walisema wakubwa hawajambi
Nikiwa na mtu mkubwa afu akajamba eti nijisingizie ni mimi hiyo ndo adabu
ha ha ha lol....Halafu eti mjambaji mwenyewe ndie anainuka na anakupa bakora za kutosha wakati amejamba yeye!
Nikiwa na mtu mkubwa afu akajamba eti nijisingizie ni mimi hiyo ndo adabu
Nimecheka sana hii.mpaka nkapata picha.yani imagining