Haki ya Mungu na Mtume tena, …

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,418
Reaction score
17,735
Wakati nasoma kuna jamaa walikuwa wanajiita Waarabu ingawaje kwa kuwaangalia huoni Uarabu, basi walikuwa mpaka wanajiapiza,“ Haki ya Mungu na Mtume tena mimi Mwarabu“ tulikuwa tunawaita Waarabu wa kuapia, yaani mpaka aapie ndo ujue kwamba ni “Mwarabu“.

Nimekumbuka mbali tu, wote tuna Utoto ndani yetu, …
 
Kabila sio rangi,wala sura,wala mavazi,kabila ,mwenye kabila ndio anayejijua yeye,ni kabila gani.
 
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, maana yeye hata muhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye bure jina Lake.
 
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, maana yeye hata muhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye bure jina Lake.

Kulitaja bure jina maana yake nini? Mbona tunapaswa kulitukuza Jina la Mungu ?
 
Naona umekumbuka baada ya kumwona mjombake mama wa Taifa....[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…