Haki ya mungu: Ccm mnatendadhambi!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
CCM walichokifanya Igunga wameniaminisha kuwa tayari wanatengeneza wananchi MAZUZU, MISUKULE, MAZEZETA...... Nasema kwakuwa sikuamini kama waarifu watuhumiwa sugu kama MKAPA na ROSTAM AZIZI wangetumika ili kupiga kampaini za ufunguzi!

Linalonitia wasiwasi ni kuona wasanii wajiingiza katika kushiriki dhambi hii.

Leo ndo unashangaa yanayotokea Igunga, wakati uchaguzi mdogo wa Tarime, Busanda, Kiteto na Biharamul. Vijana wa upinzani walishambuliwa na kupigwa kwa MAPANGA. ccm kutumia acid ni sehemu ya propaganda ya kubadili mindset ya watu. But time will tell!

Acheni mbwembwe.ccm iko juu.we dnt listen uar propaganda we ar focusing to win by any how.nyie endeleeni kushangaa na kulaumu bt at th end of th day we luk wht u harvested,majungu au kura.acheni majungu bana be serious 2build uarself competitive.

hapo mbwembwe ziko wap mkuu? Mtaji wa ujinga wa watz? Kuwa juu kwa kumwagia watu tindikali kujijenga kisiasa? Unatia aibu.

Ila sikulaumu. Wewe nafahamu sana. Uko tayri kwenda igunga kukenua ili CCM iendelee kula jasho letu. Days are numbered. Mbinu zote za kitapeli zitaisha na na tutarudisha mambo yote mliyofisadi

magwanda c ndio mnamwagia watu tindikali?nyie elezeni sera zenu bana.ndio tutawaelewa istead of talkng abt people.

Acheni mbwembwe.ccm iko juu.we dnt listen uar propaganda we ar focusing to win by any how.nyie endeleeni kushangaa na kulaumu bt at th end of th day we luk wht u harvested,majungu au kura.acheni majungu bana be serious 2build uarself competitive.

we ni pumba aise una elimu kweli hata ya chekechea

Ila sikulaumu. Wewe nafahamu sana. Uko tayri kwenda igunga kukenua ili CCM iendelee kula jasho letu. Days are numbered. Mbinu zote za kitapeli zitaisha na na tutarudisha mambo yote mliyofisadi

chadema wachawi tu.u pretend u lov ths country bt in reality they ar luking 4th way steal 2.niko igunga mkuu nakenua cz tushashinda uar sad cz umeshndwa.

we ni pumba aise una elimu kweli hata ya chekechea

kama mim pumba basi we mahindi kama co mpunga.kama wew una elimu hw does it helpng u?politics does nt nid tht na ndio maana magwanda mnajiona mmesoma sana.

Back
Top Bottom