Yohana Daniel
Member
- Mar 18, 2018
- 63
- 33
Uliwahi kumnyanyasa?Habarini za uzima ndugu zangu
Wewe naye bure kabisaJaribu kuwasiliana na Jerry Slaa uone anasemaje?
Hata Mimi ilinikuta kesi kama hiyo mkuu, nimehangaika sana, siku tunavunja tukakuta kaacha makorokoro ya ovyo tu,Nenda kwa mtendaji atakuandikia barua unaenda nayo mahakama ya mwanzo wanakuandikia barua ya kuvunja hapo ukiwa na balozi na mwenyekiti wako wa mtaa, mwenyekiti ataandika Kila kilichopo ndani na nalala anabaki nayo yeye ila kumbuka wajibu wa kutunza hivo vitu unakua nao wewe, jiandae kua na stoo!
Ishanitokea hii nikafanya ivo
Hapana jamaa ni mlevi tuUliwahi kumnyanyasa?
Mlevi asiejitambuaHapana jamaa ni mlevi tu
Nenda kwa mtendaji atakuandikia barua unaenda nayo mahakama ya mwanzo wanakuandikia barua ya kuvunja hapo ukiwa na balozi na mwenyekiti wako wa mtaa, mwenyekiti ataandika Kila kilichopo ndani na nalala anabaki nayo yeye ila kumbuka wajibu wa kutunza hivo vitu unakua nao wewe, jiandae kua na stoo!
Ishanitokea hii nikafany
Nenda mbele zaidi mkuu mwambie huyo mtendaji akupe barua ya kwenda mahakama ya mwanzo...
Baadhi ya wapangaji ni vimeo Sana Mimi mwenyewe Nina mpangaji mmoja nimempangisha chumba na choo ndani,sebule nimemfungia na UMEME wake na meter ya maji anajitegemea lkn kwenye malipo Hadi nimkumbushe Hadi naona KERO..
Wapangaji wengine wako poa Sana na wengine ni michongo
Duuh hatari Ndugu na alitakiwa aondoke free ila anataka kukomoaNenda mbele zaidi mkuu mwambie huyo mtendaji akupe barua ya kwenda mahakama ya mwanzo...
Baadhi ya wapangaji ni vimeo Sana Mimi mwenyewe Nina mpangaji mmoja nimempangisha chumba na choo ndani,sebule nimemfungia na UMEME wake na meter ya maji anajitegemea lkn kwenye malipo Hadi nimkumbushe Hadi naona KERO..
Wapangaji wengine wako poa Sana na wengine ni michongoma
Hilo nalo ni swari Ndugu nimepoteza wateja watatu wanataka waone chumbaFanya walivyoshauri wadau
Ila nataka kujua je huyo Mpangaji akirudi atawajibika kulipa gharama za usumbufu aloupata mpangishaji?
SawaJaribu kuwasiliana na Jerry Slaa uone anasemaje?
Kama mkataba wake umekwisha na haja renew, huyo sasa anahesabika kama mvamizi, fungua chumba chako endelea na mambo yako!!Habarini za uzima ndugu zangu
Husika na kichwa cha habari hapo juu, naomba Niende moja kwa moja kwenye mada nilikua na mpangaji ambae alilipa pesa ya kodi yake vizuri wakati anaingia shida ni pale tu ilipoisha hakuweza Kulipa tena nikampa notice ya kuhama free bila kunilipa chochote ila huu ni mwezi wa tatu tangu amefunga kufuli lake kwenye chumba changu
Sasa naomba kufahamu najua anaweza kuwa ametega tukibomoa tu atataka kulipwa maana anaweza kusingizia kuwa kuna vitu vimepotea na nilienda kwa mwenyekiti gharama ni kubwa kwa kweli mpaka nahisi napigwa
Je, watalamu wa sheria ni wakati gani sahihi wa Mwenye nyumba kuchukua hatua ya kuvunja na kumpangisha mtu mwingine na akawa yupo sahihi kisheria?
Asanteni kwa ushirikiano