Haki ya kufuata mume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki ya kufuata mume

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by congobe, Jul 15, 2012.

 1. congobe

  congobe JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  mi ni mwalimu shule flani secondary wakuu wananisumbua kunipa uhamisho wa kumfuata mume wangu aliko na ni nimepereka cheti cha ndoa na barua ya kuomba kuhama ,naambiwa nitafute mwalimu mbadala ni mpereke ndo ni hame
   
 2. congobe

  congobe JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  mi mwalimu wa kike nimetuma barua pamoja na cheti cha ndoa kuomba kumfuata mume wangu aliko naambiwa na DEO ni mtafute mwalimu mbadala nimpereke ndo ni pate kuhama kituo cha kazi cha sasa je NIFANYEJE wana Jamvi naomba ushauri wenu
   
Loading...