johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Bush lawyer wa Chadema aka Lisu mpya Mbowe na familia yake wanakutafuta kwa udi na uvumba kutokana na kumsababishia mpendwa wao kukaa jela miezi mitatu!Shangingi at her best!
Hahahaa...... Kumchagua Jaji ni mchakato hata Tundu Lisu analijua hilo!Jitambulishe kuwa wewe ni yule judge mpya aliyepewa cheo baada ya kufuta dhamana ya Mbowe na Matiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sugar mummy la lumumba pambana na hali yako achana na upumbavu wako huu umri ummeendaBush lawyer wa Chadema aka Lisu mpya Mbowe na familia yake wanakutafuta kwa udi na uvumba kutokana na kumsababishia mpendwa wao kukaa jela miezi mitatu!
Pumbavu wew...mchakato ni mpaka ufute dhamana za wapinzani kinyume na sheria kama alivyofanya mashauri?Hii ndio tafsir ya mchakato kwa mavuvuzera wa jiwe?You are such a shameless old woman!!!Hahahaa...... Kumchagua Jaji ni mchakato hata Tundu Lisu analijua hilo!
Amepitia mchakato gani huyo, ya kufuta dhamana ipo siku mtanyongwa kwa kutesa wasio na hatia. Upendeleo umewajaaHahahaa...... Kumchagua Jaji ni mchakato hata Tundu Lisu analijua hilo!
Nipo hapa nasoma habari ya !mbunge Lijualikali kupatiwa dhamana na mahakama kutokana na kesi inayomkabili.
Pembeni nina kakitabu ka Shivji kanakozungumzia Haki ya Dhamana inavyoendana na Wajibu wa kutumikia masharti ya Dhamana hiyo.
Natamani sana kumpatia mh Lijualikali hiki kitabu, ni kizuri mno.
Maendeleo hayana vyama!
Jitambulishe kuwa wewe ni yule judge mpya aliyepewa cheo baada ya kufuta dhamana ya Mbowe na Matiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio uzi huo tayari..duh.
Bush lawyer wa Chadema aka Lisu mpya Mbowe na familia yake wanakutafuta kwa udi na uvumba kutokana na kumsababishia mpendwa wao kukaa jela miezi mitatu!
Wewe hujui kusomaNipo hapa nasoma habari ya !mbunge Lijualikali kupatiwa dhamana na mahakama kutokana na kesi inayomkabili.
Pembeni nina kakitabu ka Shivji kanakozungumzia Haki ya Dhamana inavyoendana na Wajibu wa kutumikia masharti ya Dhamana hiyo.
Natamani sana kumpatia mh Lijualikali hiki kitabu, ni kizuri mno.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa...... Kumchagua Jaji ni mchakato hata Tundu Lisu analijua hilo!
Sugar mummy la lumumba pambana na hali yako achana na upumbavu wako huu umri ummeenda