johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 82,754
- 139,571
Nipo hapa nasoma habari ya !mbunge Lijualikali kupatiwa dhamana na mahakama kutokana na kesi inayomkabili.
Pembeni nina kakitabu ka Shivji kanakozungumzia Haki ya Dhamana inavyoendana na Wajibu wa kutumikia masharti ya Dhamana hiyo.
Natamani sana kumpatia mh Lijualikali hiki kitabu, ni kizuri mno.
Maendeleo hayana vyama!