Haki huwa inawaumiza mioyo yao kabisaWooote wanaojihusisha katika usimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kutamka neno HAKI imekuwa ngumu mno kama kutamka tusi na nguoni au kukufuru, lakini wamejikita kwenye neno AMANI na wako radhi kulitamka hata mara elfu moja na moja kwa siku.
Lakini AMANI ni tunda la HAKI, au tuseme HAKI ndio mzazi wa AMANI hivyo huyo AMANI ili umtambulishe aeleweke lazima utumie na Surname yake ambayo ni HAKI yaani AMANI s/o Haki.
Sasa shida ni nini kuogopa kumuweka wazi Haki? Sio Rais, PM, VP, viongozi wa NEC, wa dini hata wale kindakindaki wa chama tawala wote ni kushabikia tuu AMANI, AMANI, AMANI lakini wanaogopa Haki Haki Haki!
Sisi tunataka Haki tu, huyo AMANI atazaliwa ndani ya mapenzi ya haki!
Hata mimi huwa nasubiri sana kusikia hilo neno haki katika maelezo yao huwa silipati kabisaaaa.Haki huwa inawaumiza mioyo yao kabisa
Wanaogopa kwa kuwa hawatendi haki. Wanatawala kimabavu. No justice, no peace ever.Wooote wanaojihusisha katika usimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kutamka neno HAKI imekuwa ngumu mno kama kutamka tusi na nguoni au kukufuru, lakini wamejikita kwenye neno AMANI na wako radhi kulitamka hata mara elfu moja na moja kwa siku.
Lakini AMANI ni tunda la HAKI, au tuseme HAKI ndio mzazi wa AMANI hivyo huyo AMANI ili umtambulishe aeleweke lazima utumie na Surname yake ambayo ni HAKI yaani AMANI s/o Haki.
Sasa shida ni nini kuogopa kumuweka wazi Haki? Sio Rais, PM, VP, viongozi wa NEC, wa dini hata wale kindakindaki wa chama tawala wote ni kushabikia tuu AMANI, AMANI, AMANI lakini wanaogopa Haki Haki Haki!
Sisi tunataka Haki tu, huyo AMANI atazaliwa ndani ya mapenzi ya haki!
Pasipo na haki kuna uonevu na manyanyaso mara zote.Aliyewahi kusikia Magufuli akitamka neno "HAKI" mahali popote aweke ushahidi wa tamko hilo, nami naahidi kwa moyo mkunjufu hiyo keshokutwa kwenda kituoni na kumpigia kura ya NDIYO, bila kinyongo kabisa.
Kwa kutolitamka neno HAKI, tena maksudi ni kwamba hatendi haki na wala hanuii kutenda haki katika utawala wake.
Kumchagua Magufuli ni kukataa HAKI, kwa hiyo waTanzania kama tutamchagua kwa kura nyingi kwa utashi wetu wenyewe, maana yake ni kwamba HAKI haina maana yoyote kwetu!
Litakuwa ni jambo la kustaajabisha sana kwa waTanzania kuamua kukataa HAKI.
Ikitokea wamchague huku wakijua wanazikana HAKI zao, basi pasiwepo tena malalamishi akiwanyima HAKI hizo.
Mithali 34:14Wooote wanaojihusisha katika usimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kutamka neno HAKI imekuwa ngumu mno kama kutamka tusi na nguoni au kukufuru, lakini wamejikita kwenye neno AMANI na wako radhi kulitamka hata mara elfu moja na moja kwa siku.
Lakini AMANI ni tunda la HAKI, au tuseme HAKI ndio mzazi wa AMANI hivyo huyo AMANI ili umtambulishe aeleweke lazima utumie na Surname yake ambayo ni HAKI yaani AMANI s/o Haki.
Sasa shida ni nini kuogopa kumuweka wazi Haki? Sio Rais, PM, VP, viongozi wa NEC, wa dini hata wale kindakindaki wa chama tawala wote ni kushabikia tuu AMANI, AMANI, AMANI lakini wanaogopa Haki Haki Haki!
Sisi tunataka Haki tu, huyo AMANI atazaliwa ndani ya mapenzi ya haki!
Tena huyo ni pande zote mbili, hata yeye asipotoa Haki ya ndoa mume sio wake tena.Kwa mfano usipotoa HAKI ya Ndoa Mke si wako tena
Wooote wanaojihusisha katika usimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kutamka neno HAKI imekuwa ngumu mno kama kutamka tusi na nguoni au kukufuru, lakini wamejikita kwenye neno AMANI na wako radhi kulitamka hata mara elfu moja na moja kwa siku.
Lakini AMANI ni tunda la HAKI, au tuseme HAKI ndio mzazi wa AMANI hivyo huyo AMANI ili umtambulishe aeleweke lazima utumie na Surname yake ambayo ni HAKI yaani AMANI s/o Haki.
Sasa shida ni nini kuogopa kumuweka wazi Haki? Sio Rais, PM, VP, viongozi wa NEC, wa dini hata wale kindakindaki wa chama tawala wote ni kushabikia tuu AMANI, AMANI, AMANI lakini wanaogopa Haki Haki Haki!
Sisi tunataka Haki tu, huyo AMANI atazaliwa ndani ya mapenzi ya haki!
Wooote wanaojihusisha katika usimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kutamka neno HAKI imekuwa ngumu mno kama kutamka tusi na nguoni au kukufuru, lakini wamejikita kwenye neno AMANI na wako radhi kulitamka hata mara elfu moja na moja kwa siku.
Lakini AMANI ni tunda la HAKI, au tuseme HAKI ndio mzazi wa AMANI hivyo huyo AMANI ili umtambulishe aeleweke lazima utumie na Surname yake ambayo ni HAKI yaani AMANI s/o Haki.
Sasa shida ni nini kuogopa kumuweka wazi Haki? Sio Rais, PM, VP, viongozi wa NEC, wa dini hata wale kindakindaki wa chama tawala wote ni kushabikia tuu AMANI, AMANI, AMANI lakini wanaogopa Haki Haki Haki!
Sisi tunataka Haki tu, huyo AMANI atazaliwa ndani ya mapenzi ya haki!
Ukitamka neno HAKI unawafanya watu wajiulize HAKI iwapi kwenye matukio tofauti. Wanajiuliza je fulani ametenda HAKI? Je kikundi fulani hutenda HAKI? Mawazo kama hayo huamsha jamii iweze kudai HAKI. Kudai HAKI wakubwa wanaona ndio choko choko kwani uhalali wa wao kuwepo unaulizwa. Kwa kuwa jamaa hawa ni wavunja HAKI wakubwa basi neno hilo hulisikii. Cha ajabu ni pale viongozi wa dini kwenye kamati zao za amani-nao wanakwepa neno HAKI.Mithali 34:14
Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote.
Pia inanenwa kuwa AMANI NI ZAO LA HAKI
Watawala wetu wanashikwa na "kigugumizi" kutamka neno HAKI, kwa kuwa wao ndiyo mabingwa wa kutoitii HAKI
WAAMBIE ZITO KABWE NA MALIM SEIFU WAKO WANG' OKE NDANI YA CHAMA CHA ACT WAZALENDO HARAKA SAANA, YAAANI HATUWAELEWII. WAO KUCHA KUTWA KULALAMIKIA VIONGOZI WENGINE HAWAISHIMU KATIBA KUMBE WAO WENYEWE NDO WASIGINAJI WA KUBWA WA KATIBA YA CHAMA CHAO? WAMEJIFUTA KWA MUJIBU WA KATIBA YA ACT WAZALENDO. WAONDOKE HARAKA SAANA.