Kwanza heshima kwako. Tusimjadili mtu hapa ila tujadili mada. Hayo yanayojilia na yanayosababisha watu hata wenye utu wema wafikie kufanya uamuzi wa mambo tusiyotegemea. Kosa ni wao au mazingira ya maisha wanayoishi? Hakuna tamaduni duniani ambayo zinatoa vielelezo wazi vya kuhalalisha hali hiyo. Hali kadhalika dini mbalimbali na madhehebu mbalimbali duniani yanayohalalisha hili. Walichofanya ni ubinadamu tu kuwasaidia walio katika wimbi hilo maana bila hivyo tuwafanye nini na maana ya haki za binadamu itachukuaje mkondo?
Candid nimeuliza mbona kwenye dini hiyo hiyo utumwa umehalalishwa ? Kwwnye biblia imeandikwa wafiraji na wafirwaji hawatauona ufalme wa mungu , pia imeandikwa wasiokiri kwamba yesu ni bwana na mokozi wao hawataingia ufalme wa mungu na wote wana dhambi okay , sasa basi na waislamu nao watengwe na wakristo watukanwe , useme hivyo hiyo unavyosema kuhusu magay uwaseme waislamu
Kwahiyo kama wewe ni mkristo maneno yote ulioandika wanhitaji sijui
msaada wasaidiwe , sijui maadili ya waisilamu ni mabovu pia na wanatakiwa wote wampokee yesu
Christian and muslim a bashing gays kwasababu ni common enemy na zanzibar imeeanza sasa wanaangalia kwamba kwenye kurhani hawa ni wakafiri makanisa ya nini tuyachome , acheni dhambi hizo endeleeni na maisha yenu , maadili kibao hatuoni mkisema wavuta sigara watupwe baharini